Hongereni JWTZ na Watanzania kwa kuwa na 'Ndege Vita' nzuri zilizokuwa 'zinazurula' tu Anga la Tanzania leo Mchana

Hongereni JWTZ na Watanzania kwa kuwa na 'Ndege Vita' nzuri zilizokuwa 'zinazurula' tu Anga la Tanzania leo Mchana

Watu wameweka sana nyuzi humu wakilalama kuhusu Shenyang F7 na zile MiG kuwa ni za kizamani ila umekuja ujio mpya bado tu sasa sijui wanataka nini?
Kuna ndege mpya JWTZ imepatiwa? Sitaki kuamini kama uchumi wetu unaruhusu. Namlaumu Kikwete kuagiza Chengdu J-7G miaka ya kuanzia 2012 wakati ni ndege very outdated kwa sasa. Hizo Mig 21 tulitumia kipindi cha vita ya Iddi Amin hadi leo zipo sijui hata status yake kama ni functional na serviceability status
 
Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.

Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji hawana na kamwe hawataweza Kuthubutu kuwa nazo kwani wanaotakiwa ( wanaopaswa ) kuwa nazo ni Tanzania na Watanzania tu pekee.

Kwa Kumalizia ni 'Ndege Vita' ambazo zitafanya matatizo makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini kumalizika kabisa Tanzania huku zikisaidia pia katika Kuondoa Ufisadi na kutufanya Watanzania tuache Kuhangaika 'Kuzurula' hovyo Ulaya kwenda Kuomba Pesa za Misaada.

Ni 'Ndege Vita' za Miaka 60 ya Uhuru.
Picha
 
Watanzania muache upumbavu saa nyingine. Jeshi linajengwa wakati wa amani, huwezi vamiwa leo eti ndio ukanunue ndege muda huo. Hizo ndege ukitoa order leo unaanza kupokea mara nyingi baada ya miaka miwili. Ukilazimisha upewe mapema wanakuuzia kwa bei kubwa sana, ukilazimisha upewe muda huo huo vita ikiwa imeanza itabidi ukodishe au upewe kutoka kwenye jeshi la nchi nyingine. Natoa mfano, Saddam Hussein miaka ya 1980s alipotaka kushambulia meli za mafuta za Iran kwenye Tanker War alikuwa hana ndege mahususi kwa ajili ya mashambulizi ya baharini wakati Iran alikuwa nazo. Ilibidi Saddam akodishe kwa gharama kubwa ndege za jeshi la Ufaransa wakati akisubiria order ya ndege alizonunua kwa kampuni ya Dassault.

South Korea miaka ya zamani ilikuwa inaamini kwenye kujenga uchumi sijui viwanda kama mnavyobwabwaja hapa na wakati huo North Korea iko inalamba umasikini. N. Korea ikajenga jeshi kubwa, mazoezi na silaha za kutosha kisha ghafla ikavamia South Korea. Hao na uchumi wao mkubwa walipigwa ndani ya wiki mbili wakasogezwa karibu na mji mkuu, Marekani ikatoa wanajeshi wote Japan ikasaidie ila nao hawakutosha. Ikabidi Marekani iagize wengine zaidi ya 1,700,000 na mpaka vita inaisha wanajeshi zaidi ya 36,000 wa USA walifariki. Kuanzia muda huo ungerudia kuwaambia South Korea wasikazane na jeshi wangekuzaba vibao. Leo hii kila mwanaume lazima aishiriki 'JKT' yao.

Hata Switzerland na historia yake ndefu haijawahi ingia vitani ila ina silaha pamoja na kuwa imezungukwa na allies. DRC hii hapa inapigwa na ka Rwanda. CAR hiyo hapo eti waasi wa Anti Baraka na wa Sereka walilishinda jeshi la serikali. Mi nilikuwa nashangaa inakuaje waasi waliovaa kandambili na jezi za Arsenal wanalishinda jeshi na wakati hawapambani na serikali, kuja kugundua maskini jeshi la serikali halina silaha hata buti na wanavaa sare tofauti yani ukienda Kariakoo ukakutana na bakabaka lolote ukalangua unavaa unaenda gwaride.

Muamar Gaddafi hakuanza kiherehere cha kupigana ovyo kwetu alipomsaidia Iddi Amin. Alishaanza mapigano na Misri na Chad. Chad ilikuwa maskini na hata leo ila ilikuwa na jeshi la kujitetea kama sisi. Gaddafi aliivamia ila Chad wakapambana na silaha zao hafifu kwenye kile kinachoitwa TOYOTA WARS, ndio chimbuko lake huko.

Yani historia zote na uzoefu wote unaonesha ni muhimu kuwa na jeshi imara, jeshi kufanya mazoezi, kuwa na silaha. Hivi vitatu vitategemeana na situation tofauti na geopolitics hivyo ulinzi usiharibu sekta nyingine. Misri inalazimika iwe imara kuliko Tanzania. Mnataka msiwe na silaha nyie mmekuwa Vatican?
 
Hii mada kama una akili utaelewa kama jinga utaelewa na ujinga wako,

Nchi ya mama wapiga dili kibao
 
Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.

Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji hawana na kamwe hawataweza Kuthubutu kuwa nazo kwani wanaotakiwa ( wanaopaswa ) kuwa nazo ni Tanzania na Watanzania tu pekee.

Kwa Kumalizia ni 'Ndege Vita' ambazo zitafanya matatizo makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini kumalizika kabisa Tanzania huku zikisaidia pia katika Kuondoa Ufisadi na kutufanya Watanzania tuache Kuhangaika 'Kuzurula' hovyo Ulaya kwenda Kuomba Pesa za Misaada.

Ni 'Ndege Vita' za Miaka 60 ya Uhuru.
GENTAMYCINE unajuaga sana ku tongue twist
 
Matumizi mabaya ya Kodi zetu,ukiimarisha demokrasia na ujirani mwema uhitaji kupoteza kodi kugharamia jeshi.
Yafaa nini mtu hadi anastaafu ajawahipiga hata risasi
Sawaa we si unajua risasi ni maandazi kama yalivyo sokoni...???

Alafu pia si unataka zilie risasi

Any way siku bongo kikiwaka wanao umia ni maskini na vilema wazee wanawake na watoto.

Sasa wewe sijui upo kundi lipi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.

Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji hawana na kamwe hawataweza Kuthubutu kuwa nazo kwani wanaotakiwa ( wanaopaswa ) kuwa nazo ni Tanzania na Watanzania tu pekee.

Kwa Kumalizia ni 'Ndege Vita' ambazo zitafanya matatizo makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini kumalizika kabisa Tanzania huku zikisaidia pia katika Kuondoa Ufisadi na kutufanya Watanzania tuache Kuhangaika 'Kuzurula' hovyo Ulaya kwenda Kuomba Pesa za Misaada.

Ni 'Ndege Vita' za Miaka 60 ya Uhuru.
Nyie mnaosubiri Rais na serikali iwaletee maendeleo mtasubiri sana
 
Sawaa we si unajua risasi ni maandazi kama yalivyo sokoni...???

Alafu pia si unataka zilie risasi

Any way siku bongo kikiwaka wanao umia ni maskini na vilema wazee wanawake na watoto.

Sasa wewe sijui upo kundi lipi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hakiwezi waka. Pia tishio la majirani hamna
 
Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile..we unalipa kodi gani ya kufanya Nchi ikaachana na kugharamia Jeshi Marekani na Utajiri wake wote ana Military Base dunia nzima we umeamka kwenye hata hujui utakula nini leo unajifanya umeridhika na amani
Mbona atuigi maendeleo au demokrasia ya marekani,wao Wanalinda interest zao duniani sisi tunalinda nn,weka pembeni ushabiki shirikisha ubongo kufikiri hili
 
Watu wameweka sana nyuzi humu wakilalama kuhusu Shenyang F7 na zile MiG kuwa ni za kizamani ila umekuja ujio mpya bado tu sasa sijui wanataka nini?
Jpm alijitahidi sana kulifanya jeshi kuwa la kisasa, amenunua "vitu" vingi vya kisasa!

Shenyang F-7 ( J -7) zimekuwa old fashioned kulingana na ujuzi wa kisasa, Mikoyan (MiG old model) pia zinahitaji replacement n
Kwa kufanya new acquisition of different variants.

Hongera wanajeshi wetu, mnawajibika ipasavyo!
 
Kuna ndege mpya JWTZ imepatiwa? Sitaki kuamini kama uchumi wetu unaruhusu. Namlaumu Kikwete kuagiza Chengdu J-7G miaka ya kuanzia 2012 wakati ni ndege very outdated kwa sasa. Hizo Mig 21 tulitumia kipindi cha vita ya Iddi Amin hadi leo zipo sijui hata status yake kama ni functional na serviceability status
Most of them are out of service!
 
Tanzania itazidi kuwa masikini hata miaka 6000 ijayo
Hili neno "AWAMU YA 6" ni lugha tu ya KISIASA na ni MWAMVULI wa kujifichia ili kuepuka JOTO KALI la kisiasa na kukwepa UWAJIBIKAJI. Serikali ya sasa INAMALIZIA ile miaka 5 ya Hayati JPM, lkn Viongozi ni WALE WALE! Tuache PROPAGANDA zisizo na MASHIKO. Kukubali MAKOSA siyo UDHAIFU.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nishakusamehe...toka unagraduate SAUT 2009...ukiishi darfur.
Kwahiyo kuweka wazi hapa JamiiForums kuwa nimemaliza SAUT mwaka 2009 na Kuishi Hostels za Darfur ndiyo unajifanya unanijua sana Pimbi Wewe? Aliyekuambia au Kukudanganya kuwa nawe sikujui au sijakujua nani? Nakujua kuwa upo JWTZ na ulipigiwa pande na Baba yako ambaye sasa ana Ushawishi mkubwa ndani ya Chama baada ya Kustaafu Jeshini.

Sasa kama unajifanya kunijua mno mbona husemi kuwa mwaka huo huo ( 2009 ) tukiwa Darasa la M9 tunafanya Mtihani wa Somo la Uchumi la Mwalimu ( Mhadhiri ) Luzangi.

Ambapo GENTAMYCINE niliweka Rekodi ya Kuufanya na Kuumaliza ndani ya dakika 50 tu wakati ulikuwa ni wa Masaa ( Saa ) Tatu na matokeo yalupotoka nikapata ( nikaufalu ) kwa kupata A ya distinction kabisa?

Cc: Amari
 
Back
Top Bottom