Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania itazidi kuwa masikini hata miaka 6000 ijayo
Kuna ndege mpya JWTZ imepatiwa? Sitaki kuamini kama uchumi wetu unaruhusu. Namlaumu Kikwete kuagiza Chengdu J-7G miaka ya kuanzia 2012 wakati ni ndege very outdated kwa sasa. Hizo Mig 21 tulitumia kipindi cha vita ya Iddi Amin hadi leo zipo sijui hata status yake kama ni functional na serviceability statusWatu wameweka sana nyuzi humu wakilalama kuhusu Shenyang F7 na zile MiG kuwa ni za kizamani ila umekuja ujio mpya bado tu sasa sijui wanataka nini?
PichaNi 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.
Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji hawana na kamwe hawataweza Kuthubutu kuwa nazo kwani wanaotakiwa ( wanaopaswa ) kuwa nazo ni Tanzania na Watanzania tu pekee.
Kwa Kumalizia ni 'Ndege Vita' ambazo zitafanya matatizo makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini kumalizika kabisa Tanzania huku zikisaidia pia katika Kuondoa Ufisadi na kutufanya Watanzania tuache Kuhangaika 'Kuzurula' hovyo Ulaya kwenda Kuomba Pesa za Misaada.
Ni 'Ndege Vita' za Miaka 60 ya Uhuru.
Hakuna kichaa utamuuzia Chengdu J-7 dunia ya leo. Ni kuziweka stoo kununua nyingineTungeuza hii midude pesa tushughulikie mambo mengine kwanza ipo outdated
GENTAMYCINE unajuaga sana ku tongue twistNi 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.
Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji hawana na kamwe hawataweza Kuthubutu kuwa nazo kwani wanaotakiwa ( wanaopaswa ) kuwa nazo ni Tanzania na Watanzania tu pekee.
Kwa Kumalizia ni 'Ndege Vita' ambazo zitafanya matatizo makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini kumalizika kabisa Tanzania huku zikisaidia pia katika Kuondoa Ufisadi na kutufanya Watanzania tuache Kuhangaika 'Kuzurula' hovyo Ulaya kwenda Kuomba Pesa za Misaada.
Ni 'Ndege Vita' za Miaka 60 ya Uhuru.
Sawaa we si unajua risasi ni maandazi kama yalivyo sokoni...???Matumizi mabaya ya Kodi zetu,ukiimarisha demokrasia na ujirani mwema uhitaji kupoteza kodi kugharamia jeshi.
Yafaa nini mtu hadi anastaafu ajawahipiga hata risasi
Nyie mnaosubiri Rais na serikali iwaletee maendeleo mtasubiri sanaNi 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.
Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji hawana na kamwe hawataweza Kuthubutu kuwa nazo kwani wanaotakiwa ( wanaopaswa ) kuwa nazo ni Tanzania na Watanzania tu pekee.
Kwa Kumalizia ni 'Ndege Vita' ambazo zitafanya matatizo makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini kumalizika kabisa Tanzania huku zikisaidia pia katika Kuondoa Ufisadi na kutufanya Watanzania tuache Kuhangaika 'Kuzurula' hovyo Ulaya kwenda Kuomba Pesa za Misaada.
Ni 'Ndege Vita' za Miaka 60 ya Uhuru.
Hakiwezi waka. Pia tishio la majirani hamnaSawaa we si unajua risasi ni maandazi kama yalivyo sokoni...???
Alafu pia si unataka zilie risasi
Any way siku bongo kikiwaka wanao umia ni maskini na vilema wazee wanawake na watoto.
Sasa wewe sijui upo kundi lipi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sera zao za nje ni kulinda maslai yao nje ya mipaka.Marekani ina bajeti kubwa ya jeshi si ndyo mnawaita baba wa demokrasi.
Kugharimia jeshi ktk nchi ni jambo la lazima
Mbona atuigi maendeleo au demokrasia ya marekani,wao Wanalinda interest zao duniani sisi tunalinda nn,weka pembeni ushabiki shirikisha ubongo kufikiri hiliNikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile..we unalipa kodi gani ya kufanya Nchi ikaachana na kugharamia Jeshi Marekani na Utajiri wake wote ana Military Base dunia nzima we umeamka kwenye hata hujui utakula nini leo unajifanya umeridhika na amani
Jpm alijitahidi sana kulifanya jeshi kuwa la kisasa, amenunua "vitu" vingi vya kisasa!Watu wameweka sana nyuzi humu wakilalama kuhusu Shenyang F7 na zile MiG kuwa ni za kizamani ila umekuja ujio mpya bado tu sasa sijui wanataka nini?
Most of them are out of service!Kuna ndege mpya JWTZ imepatiwa? Sitaki kuamini kama uchumi wetu unaruhusu. Namlaumu Kikwete kuagiza Chengdu J-7G miaka ya kuanzia 2012 wakati ni ndege very outdated kwa sasa. Hizo Mig 21 tulitumia kipindi cha vita ya Iddi Amin hadi leo zipo sijui hata status yake kama ni functional na serviceability status
Hili neno "AWAMU YA 6" ni lugha tu ya KISIASA na ni MWAMVULI wa kujifichia ili kuepuka JOTO KALI la kisiasa na kukwepa UWAJIBIKAJI. Serikali ya sasa INAMALIZIA ile miaka 5 ya Hayati JPM, lkn Viongozi ni WALE WALE! Tuache PROPAGANDA zisizo na MASHIKO. Kukubali MAKOSA siyo UDHAIFU.Tanzania itazidi kuwa masikini hata miaka 6000 ijayo
Sasa we unataka pasiwe na Jeshi..???Hakiwezi waka. Pia tishio la majirani hamna
Jeshi ni lazima liwepo,Ili mtawala aking'ang'ania madaraka limfurushe,bila mabeo bashiru angekuwa raisi.Sasa we unataka pasiwe na Jeshi..???
Kwahiyo kuweka wazi hapa JamiiForums kuwa nimemaliza SAUT mwaka 2009 na Kuishi Hostels za Darfur ndiyo unajifanya unanijua sana Pimbi Wewe? Aliyekuambia au Kukudanganya kuwa nawe sikujui au sijakujua nani? Nakujua kuwa upo JWTZ na ulipigiwa pande na Baba yako ambaye sasa ana Ushawishi mkubwa ndani ya Chama baada ya Kustaafu Jeshini.Nishakusamehe...toka unagraduate SAUT 2009...ukiishi darfur.