NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hata macho huna, hukumuona leo hii akipanda ndege na wenzie?Inasemekana ( bado nathibitisha ) kwa Chanzo changu Aminika kilichopo Kikosini nchini Nigeria kuwa Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morisson alifukuzwa Kambini na kurejeshwa Dar es Salaam Tanzania baada ya Kugundulika akiwa anawasiliana kwa Simu na Wachezaji Wawili Raia wa Kwao Ghana na huku akiwa Amebeti na Kuiua mazima Yanga SC yake inayomuweka Mjini.
Nyie Mchezaji ameshindikana katika Klabu ya Wasomi na Matajiri ya Simba SC iliyokuwa ikimpa kila Kitu nyie Wafuga Vyura na Njaa Njaa FC ndiyo mtamuweza?
Wenye Akili tulijua tu kuwa hamtowezana nae ila mkajitutumua Kumsajili ili kutukomoa Simba SC haya leo kipo wapi?
Na tunajua kuwa Bernard Morisson hakuwa Chaguo la Kocha Nabi na ndiyo maana hampi Nafasi na kila Siku tu Wanagombana huko Kambini Kwenu Avic Town ila mnajifanya Kuficha wakati Wafukunyuku wa Mambo ( Masuala Mtambuka) akina GENTAMYCINE tunajua kila Kitu ila huwa tunaamua Kuwapuuzeni tu.
Maelezo ya Uzi wangu ( hapo juu ) yalisema nina uhakika wa Taarifa au nilisema Inasemekana na nikaenda mbele kusema bado najiridhisha kutoka kwa Chanzo Aminika changu?Morrison mbona yupo na alikuwepo uwanjani? Au ulitaka awe sehemu ya mchezo? Alikuwepo Jukwaani huku na leo tumeondoka nae na Game ya Dar atachezaView attachment 2598020
Maelezo ya Uzi wangu ( hapo juu ) yalisema nina uhakika wa Taarifa au nilisema Inasemekana na nikaenda mbele kusema bado najiridhisha kutoka kwa Chanzo Aminika changu?hivi hata macho huna,hukumuona leo hii akipanda ndege na wenzie?
Maelezo ya Uzi wangu ( hapo juu ) yalisema nina uhakika wa Taarifa au nilisema Inasemekana na nikaenda mbele kusema bado najiridhisha kutoka kwa Chanzo Aminika changu?Wapo njian wakitoka Nigeria kurudi TanzaniaView attachment 2597992
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata kama ni kweli,lakini hayakuhusu😂Inasemekana ( bado nathibitisha ) kwa Chanzo changu Aminika kilichopo Kikosini nchini Nigeria kuwa Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morisson alifukuzwa Kambini na kurejeshwa Dar es Salaam Tanzania baada ya Kugundulika akiwa anawasiliana kwa Simu na Wachezaji Wawili Raia wa Kwao Ghana na huku akiwa Amebeti na Kuiua mazima Yanga SC yake inayomuweka Mjini.
Nyie Mchezaji ameshindikana katika Klabu ya Wasomi na Matajiri ya Simba SC iliyokuwa ikimpa kila Kitu nyie Wafuga Vyura na Njaa Njaa FC ndiyo mtamuweza?
Wenye Akili tulijua tu kuwa hamtowezana nae ila mkajitutumua Kumsajili ili kutukomoa Simba SC haya leo kipo wapi?
Na tunajua kuwa Bernard Morisson hakuwa Chaguo la Kocha Nabi na ndiyo maana hampi Nafasi na kila Siku tu Wanagombana huko Kambini Kwenu Avic Town ila mnajifanya Kuficha wakati Wafukunyuku wa Mambo ( Masuala Mtambuka) akina GENTAMYCINE tunajua kila Kitu ila huwa tunaamua Kuwapuuzeni tu.
Kwa Nini uandike wakati bado hujajiridhisha na taarifa zako.Maelezo ya Uzi wangu ( hapo juu ) yalisema nina uhakika wa Taarifa au nilisema Inasemekana na nikaenda mbele kusema bado najiridhisha kutoka kwa Chanzo Aminika changu?
BM ni mwathirika wa njemu AKA ganja,Jani au nakosea ndugu zangu?Inasemekana ( bado nathibitisha ) kwa Chanzo changu Aminika kilichopo Kikosini nchini Nigeria kuwa Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morisson alifukuzwa Kambini na kurejeshwa Dar es Salaam Tanzania baada ya Kugundulika akiwa anawasiliana kwa Simu na Wachezaji Wawili Raia wa Kwao Ghana na huku akiwa Amebeti na Kuiua mazima Yanga SC yake inayomuweka Mjini.
Nyie Mchezaji ameshindikana katika Klabu ya Wasomi na Matajiri ya Simba SC iliyokuwa ikimpa kila Kitu nyie Wafuga Vyura na Njaa Njaa FC ndiyo mtamuweza?
Wenye Akili tulijua tu kuwa hamtowezana nae ila mkajitutumua Kumsajili ili kutukomoa Simba SC haya leo kipo wapi?
Na tunajua kuwa Bernard Morisson hakuwa Chaguo la Kocha Nabi na ndiyo maana hampi Nafasi na kila Siku tu Wanagombana huko Kambini Kwenu Avic Town ila mnajifanya Kuficha wakati Wafukunyuku wa Mambo ( Masuala Mtambuka) akina GENTAMYCINE tunajua kila Kitu ila huwa tunaamua Kuwapuuzeni tu.
hapana kapanda ndege asubuhi hii na wenzieMaelezo ya Uzi wangu ( hapo juu ) yalisema nina uhakika wa Taarifa au nilisema Inasemekana na nikaenda mbele kusema bado najiridhisha kutoka kwa Chanzo Aminika changu?
You are mentally retardedInasemekana ( bado nathibitisha ) kwa Chanzo changu Aminika kilichopo Kikosini nchini Nigeria kuwa Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morisson alifukuzwa Kambini na kurejeshwa Dar es Salaam Tanzania baada ya Kugundulika akiwa anawasiliana kwa Simu na Wachezaji Wawili Raia wa Kwao Ghana na huku akiwa Amebeti na Kuiua mazima Yanga SC yake inayomuweka Mjini.
Nyie Mchezaji ameshindikana katika Klabu ya Wasomi na Matajiri ya Simba SC iliyokuwa ikimpa kila Kitu nyie Wafuga Vyura na Njaa Njaa FC ndiyo mtamuweza?
Wenye Akili tulijua tu kuwa hamtowezana nae ila mkajitutumua Kumsajili ili kutukomoa Simba SC haya leo kipo wapi?
Na tunajua kuwa Bernard Morisson hakuwa Chaguo la Kocha Nabi na ndiyo maana hampi Nafasi na kila Siku tu Wanagombana huko Kambini Kwenu Avic Town ila mnajifanya Kuficha wakati Wafukunyuku wa Mambo ( Masuala Mtambuka) akina GENTAMYCINE tunajua kila Kitu ila huwa tunaamua Kuwapuuzeni tu.
Ili niwavutie Majuha Waandamizi kama Wewe kusoma na Kujaza Servers za hapa.Kwa Nini uandike wakati bado hujajiridhisha na taarifa zako.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aanze kupewa Kwanza Aliyekuzaa.Dawa za ugonjwa wa akili zitolewe bure
Like your Mom.You are mentally retarded
Asante kwa Taarifa.hapana kapanda ndege asubuhi hii na wenzie
Shit holeLike your Mom.
unajua mie sijajua why watu wanapenda kutukana mtu wasiyependa maoni yake,the best thing about human beings,ni ku differ in opinions but tubakie ndugu,marafiki na wabia kwenye duniaAsante kwa Taarifa.