Hongereni kwa Kumfunga Rivers United FC, ila na hili la Bernard Morisson liwekeni wazi msifiche

Hongereni kwa Kumfunga Rivers United FC, ila na hili la Bernard Morisson liwekeni wazi msifiche

Nimeshastaafu Kuwapakuwa Watu Unyabengani Kwao hivyo tafuta tu Wapakuwaji wapya wa hilo Nyabe lako linalokunyamvuka nyamvuka mpaka Kutwa ( 24/7 ) Unanishobokea sawa?
Nani ashoboke na POPOMA nyau wewe
 
Wenye Akili tulijua tu kuwa hamtowezana nae ila mkajitutumua Kumsajili ili kutukomoa Simba SC haya leo kipo wapi?
hivi kati ya simba na yanga ni nani alieanza kumsajili morrison kwa kumkomoa mwenzie? we jamaa akili zako zimehamia puani na kichwani umejaza makamasi tuu.
 
Inasemekana ( bado nathibitisha ) kwa Chanzo changu Aminika kilichopo Kikosini nchini Nigeria kuwa Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morisson alifukuzwa Kambini na kurejeshwa Dar es Salaam Tanzania baada ya Kugundulika akiwa anawasiliana kwa Simu na Wachezaji Wawili Raia wa Kwao Ghana na huku akiwa Amebeti na Kuiua mazima Yanga SC yake inayomuweka Mjini.

Nyie Mchezaji ameshindikana katika Klabu ya Wasomi na Matajiri ya Simba SC iliyokuwa ikimpa kila Kitu nyie Wafuga Vyura na Njaa Njaa FC ndiyo mtamuweza?

Wenye Akili tulijua tu kuwa hamtowezana nae ila mkajitutumua Kumsajili ili kutukomoa Simba SC haya leo kipo wapi?

Na tunajua kuwa Bernard Morisson hakuwa Chaguo la Kocha Nabi na ndiyo maana hampi Nafasi na kila Siku tu Wanagombana huko Kambini Kwenu Avic Town ila mnajifanya Kuficha wakati Wafukunyuku wa Mambo ( Masuala Mtambuka) akina GENTAMYCINE tunajua kila Kitu ila huwa tunaamua Kuwapuuzeni tu.
Mkuu Genta upo! Za masiku Mkuu!
 
Back
Top Bottom