Hongereni kwa Kumfunga Rivers United FC, ila na hili la Bernard Morisson liwekeni wazi msifiche

Hivi hata macho huna, hukumuona leo hii akipanda ndege na wenzie?
 
Morrison mbona yupo na alikuwepo uwanjani? Au ulitaka awe sehemu ya mchezo? Alikuwepo Jukwaani huku na leo tumeondoka nae na Game ya Dar atachezaView attachment 2598020
Maelezo ya Uzi wangu ( hapo juu ) yalisema nina uhakika wa Taarifa au nilisema Inasemekana na nikaenda mbele kusema bado najiridhisha kutoka kwa Chanzo Aminika changu?
 
hivi hata macho huna,hukumuona leo hii akipanda ndege na wenzie?
Maelezo ya Uzi wangu ( hapo juu ) yalisema nina uhakika wa Taarifa au nilisema Inasemekana na nikaenda mbele kusema bado najiridhisha kutoka kwa Chanzo Aminika changu?
 
Hata kama ni kweli,lakini hayakuhusu😂
 
BM ni mwathirika wa njemu AKA ganja,Jani au nakosea ndugu zangu?
 
Maelezo ya Uzi wangu ( hapo juu ) yalisema nina uhakika wa Taarifa au nilisema Inasemekana na nikaenda mbele kusema bado najiridhisha kutoka kwa Chanzo Aminika changu?
hapana kapanda ndege asubuhi hii na wenzie
 
You are mentally retarded
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…