Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Leo shirika la Habari la Kimataifa Reutres limeripoti hatua ya Mawakili wa Tundu Lissu kuwasilisha rasmi kwa Umoja wa Mataifa suala la kushikiliwa kwake ili lichukuliwe na kutangazwa kama Kushikiliwa Kinguvu (Arbitral Detention)
Suala hili ni hatua muhimu sana hasa wakati huu ambapo Taifa letu linapambana na matukio ya ukatili ya mauaji, utekaji na upotezaji wa Watu wanaokosoa Serikali ya CCM chini ya Rais Samia.
Nashukuru hatua hii imechukulia baada ya Mataifa Makubwa ya Marekani na Umoja wa Ulaya kutoa Matamko juu ya hali isiyoridhisha ya haki za Binadamu inayoendelea nchini kwetu hapa Tanzania.
Wakati Umoja wa Mataifa ukipokea haya naomba Mawakili wa Tundu Lissu msiishie hapo na muendelee na hatua nyingine kama ifuatavyo:
1. Muiandikie pia Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuiomba kuwachunguza na kuwakamata Rais Samia na Wasaidizi wake hasa Mohamed Mchengerwa, IGP Wambura, CP Awadh, SACP Mafwele , Tulia Ackson na RC Mbeya Homera kwa Matukio ya Utekaji na Upotezwaji wa wanaoikosoa Serikali ya CCM.
2. Yaandikieni Mataifa ya Marekani na Uingereza kuwaomba kuwalinda Watanzania watakaopanga kudai haki zao wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ikiwezekana wa enforce No Flying Zone kwa Tanzania kuwalinda Wananchi Wanaopinga Uchaguzi.
Mtanishukuru badae!