Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Aisee huyu Mtu mara anateuliwa na Umoja wa Mataifa wa Demokrasia mara ana file.Leo shirika la Habari la Kimataifa Reutres limeripoti hatua ya Mawakili wa Tundu Lissu kuwasilisha rasmi kwa Umoja wa Mataifa suala la kuahikiriwa kwake ili kuchukuliwe kama Kushikiliwa Kinguvu (Arbitral Detention)
Suala hili ni hatua muhimu sana hasa wakati huu ambapo Taifa letu linapambana na matukio ya ukatili ya mauaji, utekaji na upotezaji wa Watu wanaokosoa Serikali ya CCM chini ya Rais Samia.
Nashukuru hatua hii imechukulia baada ya Mataifa Makubwa ya Marekani na Umoja wa Ulaya kutoa Matamko juu ya hali isiyoridhisha ya haki za Binadamu inayoendelea nchini kwetu hapa Tanzania.
Wakati Umoja wa Mataifa ukipokea haya naomba Mawakili wa Tundu Lissu msiishie hapo na muendelee na hatua nyingine kama ifuatavyo:
1. Muiandikie pia Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) Kkuiomba kuwachunguza na kuwakamata Rais Samia na Wasaidizi wake hasa Mohamed Mchengerwa, IGP Wambura, CP Awadh, SACP Mafwele , Tulia Ackson na RC Mbeya Homera kwa Matukio ya Utekaji na Upotezwaji wa wanaoikosoa Serikali ya CCM.
2. Yaandikieni Mataifa ya Marekani na Uingereza kuwaomba kuwalinda Watanzania watakaopanga kudai haki zao wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ikiwezekana wa enforce No Flying Zone kwa Tanzania kuwalinda Wananchi Wanaopinga Uchaguzi.
Mtanishukuru badae!
View attachment 3351319
Hakuna kipindi rahisi kuwatoa madarakani CCM kama kipindi hiki. Yaani wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe.Huyu Mama na chama chake ni janga kwa nchi.
Suala la Tundu Lissu ndo linaenda kuleta ukombozi wa kweli kwa Tanzania. Bookmark this.Aisee huyu Mtu mara anateuliwa na Umoja wa Mataifa wa Demokrasia mara ana file.
Bado tu hawajafunguka?
Let us wait and see......but we do not meam to stand aside and look.Suala la Tundu Lissu ndo linaenda kuleta ukombozi wa kweli kwa Tanzania. Bookmark this.
Mungu Wabariki WazunguLeo shirika la Habari la Kimataifa Reutres limeripoti hatua ya Mawakili wa Tundu Lissu kuwasilisha rasmi kwa Umoja wa Mataifa suala la kushikiliwa kwake ili kuchukuliwe na kutangazwa kama Kushikiliwa Kinguvu (Arbitral Detention)
Suala hili ni hatua muhimu sana hasa wakati huu ambapo Taifa letu linapambana na matukio ya ukatili ya mauaji, utekaji na upotezaji wa Watu wanaokosoa Serikali ya CCM chini ya Rais Samia.
Nashukuru hatua hii imechukulia baada ya Mataifa Makubwa ya Marekani na Umoja wa Ulaya kutoa Matamko juu ya hali isiyoridhisha ya haki za Binadamu inayoendelea nchini kwetu hapa Tanzania.
Wakati Umoja wa Mataifa ukipokea haya naomba Mawakili wa Tundu Lissu msiishie hapo na muendelee na hatua nyingine kama ifuatavyo:
1. Muiandikie pia Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuiomba kuwachunguza na kuwakamata Rais Samia na Wasaidizi wake hasa Mohamed Mchengerwa, IGP Wambura, CP Awadh, SACP Mafwele , Tulia Ackson na RC Mbeya Homera kwa Matukio ya Utekaji na Upotezwaji wa wanaoikosoa Serikali ya CCM.
2. Yaandikieni Mataifa ya Marekani na Uingereza kuwaomba kuwalinda Watanzania watakaopanga kudai haki zao wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ikiwezekana wa enforce No Flying Zone kwa Tanzania kuwalinda Wananchi Wanaopinga Uchaguzi.
Mtanishukuru badae!
View attachment 3351319
Sasa hivi adui yao amekuwa Gwajima aliyewaambia msiue watu.Hakuna kipindi rahisi kuwatoa madarakani CCM kama kipindi hiki. Yaani wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe.
Huyu afande alimpiga Jicho....sijui alikuwa anawaza nini kuhusu huyu Mzalendo
Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya WazunguMungu Wabariki Wazungu
Update ziko wapiTuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya Wazungu
Vipi naskia leo Moshi imefunika mbaya? Tupe ripoti za huko.
Wanataka kuendelea kunywa damu za Watanganyika. Wakiambiwa wasiue wanakasirika.Sasa hivi adui yao amekuwa Gwajima aliwaambia msiue watu.
SawaLeo shirika la Habari la Kimataifa Reutres limeripoti hatua ya Mawakili wa Tundu Lissu kuwasilisha rasmi kwa Umoja wa Mataifa suala la kushikiliwa kwake ili kuchukuliwe na kutangazwa kama Kushikiliwa Kinguvu (Arbitral Detention)
Suala hili ni hatua muhimu sana hasa wakati huu ambapo Taifa letu linapambana na matukio ya ukatili ya mauaji, utekaji na upotezaji wa Watu wanaokosoa Serikali ya CCM chini ya Rais Samia.
Nashukuru hatua hii imechukulia baada ya Mataifa Makubwa ya Marekani na Umoja wa Ulaya kutoa Matamko juu ya hali isiyoridhisha ya haki za Binadamu inayoendelea nchini kwetu hapa Tanzania.
Wakati Umoja wa Mataifa ukipokea haya naomba Mawakili wa Tundu Lissu msiishie hapo na muendelee na hatua nyingine kama ifuatavyo:
1. Muiandikie pia Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuiomba kuwachunguza na kuwakamata Rais Samia na Wasaidizi wake hasa Mohamed Mchengerwa, IGP Wambura, CP Awadh, SACP Mafwele , Tulia Ackson na RC Mbeya Homera kwa Matukio ya Utekaji na Upotezwaji wa wanaoikosoa Serikali ya CCM.
2. Yaandikieni Mataifa ya Marekani na Uingereza kuwaomba kuwalinda Watanzania watakaopanga kudai haki zao wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ikiwezekana wa enforce No Flying Zone kwa Tanzania kuwalinda Wananchi Wanaopinga Uchaguzi.
Mtanishukuru badae!
View attachment 3351319
Nimesikitika sana na nimegundua hatari iliyopo mbele yetu, unajua huyu Mama anazidi kuwabagua Watanzania na huenda hata tunaweza kuingia kwenye civil war, nchi imekuwa polarised, badala juhudi za haraka kufanyika kuwaleta pamoja Watanzania yeye ndio anazidi kuwatenganisha duuh!🤔Wanataka kuendelea kunywa damu za Watanganyika. Wakiambiwa wasiue wanakasirika.