Hongereni sana CCM kwa kuliangamiza Taifa letu!

Ushahidi mwingine utauona kwenye vyombo vya habari hasa vya kielektroniki. Wakisema vipindi vya vijana automatically unapata picha ya maudhui ya namna gani? Wanajustify kwa kusema ndio soko linataka. Hata bila utafiti, unajiuliza kijana wa hata hapo Pwani tu hitaji lake kuu ni habari za Kendrick na Drake?

Mbaya zaidi, hamna unafuu wowote kwenye hivyo vipindi vinayoitwa vya watu wazima.
 
Ukiondoa mapenzi, ngono, maisha ya wasanii, vijana wa Tanzania upuuzi mwingine wanaoweza kuujadili ni Mpira hasa Simba na Yanga.

CCM ni laana
 
Acha kuhusianisha matukio tofauti....

Upande mmoja umechukua vijana ambao wako katika "forum" ya FIKRA....na upande mwingine umechukua forum ya UDAKU.....double standard hii ...kila nchi ina vijana wa maeneo yote hayo.....
 
Acha kuhusianisha matukio tofauti....

Upande mmoja umechukua vijana ambao wako katika "forum" ya FIKRA....na upande mwingine umechukua forum ya UDAKU.....double standard hii ...kila nchi ina vijana wa maeneo yote hayo.....
Kuna kipi cha maana umekiona kutoka kwa vijana wa Kitanzania?

Uchawa kama wako au?
 
Unataka utokee uasi na mapinduzi dhidi ya serikali halali ?!!

Jidanganye.....

Hautotokea kamwe.....
Utatokea tu! Kwa mlipolufikisha hili Taifa?
Lazima watakuja vijana wenye akili za 1964
 
Kuna kipi cha maana umekiona kutoka kwa vijana wa Kitanzania?

Uchawa kama wako au?
Double standards na tuhuma zisizo mshiko ndio hulka yako....

Vijana wa kitanzania ni sawa na vijana wengine popote tu pale....wako pia wazushi na wanaoichukia serikali yao bila sababu kama uichukiavyo wewe.....
 
Double standards na tuhuma zisizo mshiko ndio hulka yako....

Vijana wa kitanzania ni sawa na vijana wengine popote tu pale....wako pia wazushi na wanaoichukia serikali yao bila sababu kama uichukiavyo wewe.....
Tuhuma zisizo na mshiko wakati umepewa ushahidi hapo.
 
Kuna wakati huwa nawaza namna ya kuitoa madarakani ccm kidemokrasia najua haiwezekani, yameshika hatamu...basi Mungu atusaidie ikitokea kwenye ule mkutano wao mkuu (sindio wanakutana humo wote hadi wastaafu) itokee gharika kama radi au tetemeko la ardhi tumalize huu ugomvi uliodumu kwa zaidi ya miaka 60...au mnasemaje wazalendo?!.
 
Mimi naunga mkono hoja ya kuwa Kuna Tatizo la future ya vijana nchini TZ. Na ukitaka pia kujua angalia vyombo vya habari vya TZ na nchi zingine huwa vinaripoti kitu gani? Contents zao huwa ni nini hasa? Utakuta TZ Uchawa ni mwingi na upuuzi mwingine. TZ as far as you pay the media wataripoti hata ujinga ujunga wataupaka losheni na kupulizia pafyumu ili uonekane ni ujinga wenye akili na elimu.
 
Post hivyo vya maana wanavyopost watanzania kama sio mipira, mapenzi
 
Mapinduzi ni njia murua sana ya kudeal na Watawala wajinga.

Mie hakuna broadcast ninazozipenda kama zile za Wanajeshi wanapotangazaga kukomesha utawala wa kiraia kwa muda ili kunyoosha mambo.

Kwa kiburi hiki cha CCM tusahau kama watakuja kutoka kwa njia za kawaida za kidemokrasia.
 
Tumekuwa taifa la hovyo la wakata mauno uchawa kuendekeza upuz upuz tu
Wajing wajing ndy wanapewa kipaumbele

Ova
 
Tumekuwa taifa la hovyo la wakata mauno uchawa kuendekeza upuz upuz tu
Wajing wajing ndy wanapewa kipaumbele

Ova
Tuzidishe maombi tu wenye uwezo wafanye maamuzi. Nchi hii ni upuuzi tu left, right and centre.
 
Unataka watu waishi vip?.Kama wewe hufurahii aya maisha kwasababu ya shida zako usifikiri na wengine wana shida kama zako.Wacha watu wajiachie kwasababu hiyo ndio hali halisi ya dunia ya leo na mitandao yakijamiii itategemea unataka nini.Misimamo yako yakikoloni jifanyie mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…