Hongereni sana CCM kwa kuliangamiza Taifa letu!

Kwani huu uzi unahusu nini? Ukisikia mtu anaangalia sinema halafu hadi mwisho hajui stelingi ni yupi, ndio hii sasa
 
Kwa hiyo kumbe ni ID tofauti ila mtu ni yuleyule?

Haya basi! Uzi huu unawapongeza CCM kwa kutuzalishia vijana wajinga na mapooza kichwani. Wasio na mchango wowote positively kwenye maendeleo ya nchi kiuchumi.
 
Ni sawa tu kuwa na mtizamo huo. Akili yako ndo ilipoishia hapo.
Bahati mbaya sana ndo ukweli. Hata chizi akiwa mgonjwa hajijui. Ila usijali unaweza pona kwa kujifunza jinsi ya kuweka hoja zako vizuri na mifano halisi yenye utashi ambao mtu akipewa hatokubishia wala kudoubt pia jifunze research skills.
 
Kweli kabisa. Na ni kweli pia kuwa hata chizi anaweza kumuita asiye chizi jina chizi.
 
Ni sahihi. Wanyarwanda vijana wao kushabikia vita peke yake haitoshi kuwa vijana bora. Labda mtoa mada angeonyesha post za maarifa, ujuzi, ugunduzi sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…