Hongereni sana GSM Yanga SC kwa kuamua kuwapokea Mbeya City FC

I
Inauma eeeeeeeh
 
Kama unaushahidi si uuwasilishe ofisi yeyote ya karibu ya TAKUKURU ili waanze kazi ya kusukuma ndani wote, kama ushahidi huna nawe umesimuliwa huku nikuchafuana ipo siku nawe utachafuliwa hivi hivi.
 
Yani We Jamaa Kila Mechi Ya Yanga Tu....Unakuja Na Uzi Kuwa Tumeshahonga Pesa Tushinde Mechi [emoji23], Kama Kweli Yanga Hatujiwezi Mbona Mlishindwa Kushinda Tulipokutana Na Mkaishia Kushangilia Sare Au Nanyi Tuliwahonga Pia Siku Ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…