GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya nifurahi zaidi.
Mwisho nitoe pongezi zangu Kubwa kwa outgoing CDF General Mabeyo kwani pamoja na kwamba Watu wa CMI JWTZ na wale wa TISS kufanya Kazi zao Kiuweledi, ila huu Uteuzi pia una baraka zake na Ushawishi wake kwa 85%.