GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hongera kwake.Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya nifurahi zaidi.
Mwisho nitoe pongezi zangu Kubwa kwa outgoing CDF General Mabeyo kwani pamoja na kwamba Watu wa CMI JWTZ na wale wa TISS kufanya Kazi zao Kiuweledi, ila huu Uteuzi pia una baraka zake na Ushawishi wake kwa 85%.
Unasifia mtu Kwa tetesi?Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya nifurahi zaidi.
Mwisho nitoe pongezi zangu Kubwa kwa outgoing CDF General Mabeyo kwani pamoja na kwamba Watu wa CMI JWTZ na wale wa TISS kufanya Kazi zao Kiuweledi, ila huu Uteuzi pia una baraka zake na Ushawishi wake kwa 85%.
Yani utadhani anamjua, mtu hujulikani hata na mwenyekiti wa serikali za Mtata unakuja huku kutoa sifa za mkuu wa majeshi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shida ya jamiiforum kila mtu mjuaji hatutaki kuweka wazi uhalisia wa maisha yetu, chaajabu hapo ana jero ya mihogo tu mfukoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unasifia mtu Kwa tetesi?
Niliwahi kuona moja ya matamanio yako CDF awe Mkatoliki. Vipi matamanio hayo yamejibiwa?Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya nifurahi zaidi.
Mwisho nitoe pongezi zangu Kubwa kwa outgoing CDF General Mabeyo kwani pamoja na kwamba Watu wa CMI JWTZ na wale wa TISS kufanya Kazi zao Kiuweledi, ila huu Uteuzi pia una baraka zake na Ushawishi wake kwa 85%.
Ndio wale utakuta wanamu wish Cristiano Ronaldo au Messi happy birthday kwenye WhatsApp status zao utadhani hao jamaa wanaziona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani utadhani anamjua, mtu hujulikani hata na mwenyekiti wa serikali za Mtata unakuja huku kutoa sifa za mkuu wa majeshi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shida ya jamiiforum kila mtu mjuaji hatutaki kuweka wazi uhalisia wa maisha yetu, chaajabu hapo ana jero ya mihogo tu mfukoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unamjua???, mnapenda kutafutiza ujuaji kwa wakubwa ilihali wewe ni muuza kahawa usiye na kijiwe [emoji57]
Kwel kbsKitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya nifurahi zaidi.
Mwisho nitoe pongezi zangu Kubwa kwa outgoing CDF General Mabeyo kwani pamoja na kwamba Watu wa CMI JWTZ na wale wa TISS kufanya Kazi zao Kiuweledi, ila huu Uteuzi pia una baraka zake na Ushawishi wake kwa 85%.
Mkuu Genta unaitwa Mpwayungu huku[emoji23]Unamjua???, mnapenda kutafutiza ujuaji kwa wakubwa ilihali wewe ni muuza kahawa usiye na kijiwe [emoji57]
'Natural Charm' yangu inakutesa sana Pimbi Wewe. Na hapo bado....!!!!!Unamjua???, mnapenda kutafutiza ujuaji kwa wakubwa ilihali wewe ni muuza kahawa usiye na kijiwe [emoji57]
'Natural Charm' yangu inakutesa sana Pimbi Wewe. Na hapo bado....!!!!!You have nothing to do with anafaa au hastahili, usijipe umuhimu.
Foolish.Unasifia mtu Kwa tetesi?
Ile ID yako ya 'Verified' mbona huwa ( hupendi ) Kuitumia ukiwa unajibizana nami hapa? au ile Kura 1 ya Kawe inakutesa?Yani utadhani anamjua, mtu hujulikani hata na mwenyekiti wa serikali za Mtata unakuja huku kutoa sifa za mkuu wa majeshi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shida ya jamiiforum kila mtu mjuaji hatutaki kuweka wazi uhalisia wa maisha yetu, chaajabu hapo ana jero ya mihogo tu mfukoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]