Hongereni sana Kitengo cha CMI JWTZ na wale TISS mliokuwa 'penetrated' JWTZ kwa Kazi nzuri ya CDF mpya Jenerali Mkunda

Wacha uongo weye... Sanga sanga ya wapi.. Sanga sanaga huwezi fikia cheo hiyo unataka apindue nchi...
 
Watanzania mnapenda Sana kumsifia MTU akiteuliwa na rais hata kabla ya kuona matokeo katika hicho cheo kipya.
MTU anaweza akamudu Sana nafasi ndogo lkn kubwa ikamshinda.
Naamini Leo hii akiteuliwa mpwayungu village kuwa mkuu wa Sungusungu kata ya 14 Temeke Kuna watu watasifia huo uteuzi lkn pia kumsifia mteule kwamba nafasi anaimudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…