Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa ukerewe hawana tofauti na wa Dar maana wote ni wakerewe.Namba 1 Ila wasukuma Wa hapa dar hapana labda Wa huko ukerewe....
Hapa ndo umenena mkuu, makabila yote yakienda Dar wanaharibikiwa na hapa ndo tunakuja kupata wanaume na wanawake wa Dar licha ya kuwa wana asili yao kutoka bara.Makabila yote yakija dar yana badili tabia
Yuko wapi now?Umenikumbusha Lucy wangu.......
Ukerewe haina wasukuma, wenyeji wake ni wakerewe ndugu ingawa ipo mkoa wa MwanzaNamba 1 Ila wasukuma Wa hapa dar hapana labda Wa huko ukerewe....
Shilole...Wanyamwezi vipi?
Ukerewe sio kwa wajita ndugu, wajita ni wenyeji wa mkoa wa Mara, Musoma sehemu inaitwa Majita.Ukerewe kuna wajita.
Wasukuma hawatahiriwi nduguWengi wao wameondolewa kiharage
Wanaume wa Kisukuma ni mashababi hasaa tupo vizuri kwenye sekta zote inapokuja kwenye suala zima la mahusiano. Yaani kuanzia kupenda, caring hadi ukweni, kujituma kitandani hadi utafutaji wa mali.Toa na mtazamo wa wanaume wa kisukuma nao tujue tabia zao
Nimekutana na wa 3 wote wamekeketwa.Wasukuma hawatahiriwi ndugu
Sio wasukuma hao pengine. Hatutahiri wanawake wetu sie. Kwa kanda ya ziwa wanaotahiri ni kabila moja tu. Wakurya.Nimekutana na wa 3 wote wamekeketwa.
UWIIII WANAUME WA KISUKUMA KITANDANI NI OVYO KABISA, hawana hata muda wa kumuandaa mama kimahaba, yaani wao wanarukia tu, puuuuuuuuuuuuuuuuuuWanaume wa Kisukuma ni mashababi hasaa tupo vizuri kwenye sekta zote inapokuja kwenye suala zima la mahusiano. Yaani kuanzia kupenda, caring hadi ukweni, kujituma kitandani hadi utafutaji wa mali.
Hatuli chips na ukipika ubwabwa lazima uweke kijiugali pembeni kukamilisha mlo kamili!
Kutokana na kuwa marijali sana, kiukweli kuna wakati huwa tunalazimika kuoa mke zaidi ya mmoja!!!
Ukiolewa na msukuma usiwe na wivu na uchoyo kwetu mwiko ndiyo maana kaya nyingi za kisukuma ni kawaida sana kukuta watu zaidi ya 10 wengi wakiwa ndugu jamaa na marafiki!!
Wasukuma wengi tunakwepa kuoa wanawake kutoka kabila hizi; wahaya, wachagga, wapale na wagogo make asili yenu sio watu wa "kutoa ni moyo"
Mkuu wote ni wasukuma,wawili ni wa Igoma na mwingine ni wa PasiansiSio wasukuma hao pengine. Hatutahiri wanawake wetu sie. Kwa kanda ya ziwa wanaotahiri ni kabila moja tu. Wakurya.