Hongereni sana mabinti/wanawake wa Kisukuma kwa haya

Hongereni sana mabinti/wanawake wa Kisukuma kwa haya

UWIIII WANAUME WA KISUKUMA KITANDANI NI OVYO KABISA, hawana hata muda wa kumuandaa mama kimahaba, yaani wao wanarukia tu, puuuuuuuuuuuuuuuuuu
Aaaaa sio kweli mkuu hatupo hivyo labda ulikutana na mchunga ng'ombe!!
Wanaume wa kisukuma ni mashababi haswaa tunaongoza kwa kuwatundika mimba kama ilivyo avatar yako!!!
 
Aaaaa sio kweli mkuu hatupo hivyo labda ulikutana na mchunga ng'ombe!!
Wanaume wa kisukuma ni mashababi haswaa tunaongoza kwa kuwatundika mimba kama ilivyo avatar yako!!!
hahahaha umenichekesha Nkoi, mimba mnatandika lakini tatizo ni kwamba hawajui mahaba, hawajui kumchezea mwanamke hadi akapata raha, wao wanaendekeza penetration sex utasikia "HEBU MJE TULALE HUKU" hahahahahah ukitaka kujua mengi ingia inbox (pm) tuongee mengi maami
 
Mwenye kufahamu Wanawake wakijita wakoje atuambie, binafsi nilijua wasukuma na wajita ndio hao hao.
 
Mkuu wote ni wasukuma,wawili ni wa Igoma na mwingine ni wa Pasiansi
Sio kweli kabisa labda hao wazazi wao walikulia ama kuzaliwa Singida/Dodoma/Mara hivyo wakajikuta wamefuata mila za wenyeji wa huko!
Wasukuma wote hatuna utaratibu huo ndugu!
Ndiyo maana wanawake wa kisukuma ni watulivu kwa ndoa zao coz ni rahisi kumkojoza ke mwenye "kinaniliu" kuliko aliyekeketwa!
Huoni wagogo, warangi,wanyaturu,wangoni,wakurya, wamatumbi, wayao, wamwera na akina njomba chilumbile na mulungu chingile mnyavu chakumemena hawana utulivu kwa ndoa zao coz wanatafuta kukojozwa!
Nashangaa Gadner alimkojoza Jde....!
 
hahahaha umenichekesha Nkoi, mimba mnatandika lakini tatizo ni kwamba hawajui mahaba, hawajui kumchezea mwanamke hadi akapata raha, wao wanaendekeza penetration sex utasikia "HEBU MJE TULALE HUKU" hahahahahah ukitaka kujua mengi ingia inbox (pm) tuongee mengi maami
Teh teh teh nashikaga mnyha wane!!
 
Wanaume wa Kisukuma ni mashababi hasaa tupo vizuri kwenye sekta zote inapokuja kwenye suala zima la mahusiano. Yaani kuanzia kupenda, caring hadi ukweni, kujituma kitandani hadi utafutaji wa mali.
Hatuli chips na ukipika ubwabwa lazima uweke kijiugali pembeni kukamilisha mlo kamili!
Kutokana na kuwa marijali sana, kiukweli kuna wakati huwa tunalazimika kuoa mke zaidi ya mmoja!!!
Ukiolewa na msukuma usiwe na wivu na uchoyo kwetu mwiko ndiyo maana kaya nyingi za kisukuma ni kawaida sana kukuta watu zaidi ya 10 wengi wakiwa ndugu jamaa na marafiki!!
Wasukuma wengi tunakwepa kuoa wanawake kutoka kabila hizi; wahaya, wachagga, wapale na wagogo make asili yenu sio watu wa "kutoa ni moyo"
Mmh sio kweli mnakwepa kuoa wachaga bhana.
 
Picha tafadhali
beanseed.jpg
 
Back
Top Bottom