Hongereni sana mabinti/wanawake wa Kisukuma kwa haya


Mkuu kwa uhakika kabisa kama kuna kabira halikeketi kabisa watu wake nchi hii basi ni WASUKUMA! Sio tu wanawake hata wanaume hiyo kitu hatufanyi, na wala haipo kwenye mira na destuli zetu. Ispokua kwa wachache waliokwenda shule na kwawaliochanganyikana na jamii zinazofanya hiyo mambo. Na imetuletea shida sana mjini maana tulichekwa sana kwa kua na magovi mpaka watu wazima! Na ndio maana sasaivi kuna-campaign ya kutairi wanaume watu wazima na watoto kanda yote ya ziwa kasoro mkoa wa mara maana wao wanakeketwa wote (wanaume na wanawake)! Na hao wasukuma wamekubariana na campaign hiyo kwa sababu watoa semina wanasema inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya ukimwi vinginevyo usingewapata.
 

Mkuu kwa uhakika kabisa nakwambia kama kuna kabira halitairi watu wake nchi hii basi ni WASUKUMA, sio tu wanawake bali hata wanaume hatufanyiwi hiyo mambo coz haipo kwenye mira wala desturi za kisukuma. Isipokua kwa wachache waliokwenda shule au waliochanganyikana na jamii zinazofanya izo vitu, na imetuletea shida sana mashuleni maana tumekua tukichekwa sana kwa kua na magovi na ndio maana sasaivi kuna kampeni ya kutairi watu wazima wote kanda ya ziwa isipokua mkoa wa mara maana wao wanakeketwa wote wanaume na wanawake. Na kampeni hiyo imefanikiwa kwa sababu wanaotoa semina wanasema zoezi hilo linapunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya HIV vinginevyo wangechemka maana haipo kwenye tamaduni zetu!
 
Mmmh huyo uliekutana nae wa wapi!! Kiukweli wasukuma wanapendwa na wasichana wa makabila mengine kwa upole na kujali kwao, pia they know how to climb up with ladies though some may not be good, but many of them are good and they've big*** for ladies.
Ooooh, kumbe ni nature ya kabila I never knew before but I used to ask myself why do I have such a loving, caring, glittering love to one whom I love! Kumbe siri ni kabila-safi sana.
 
 
 
He heee kumbe Ndiomana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…