NomaJapo wamefingia kiwanja changu hapo gentleman ila sawa tu najua ni wanawapa onyo kali, muziki inabidi uwe wa sauti ya chini, hizi bar tukumbuke nyingi zimejengwa karibu na makazi ya watu. Waangalie pia bar za hapo kimara Korogwe zinapiga kelele sana hasa TTG na Bar ya pembeni yake hapo wanapocheza pool table ni kero sana, mtu uko kilo mita kadhaa ndani ndani ila ikifika saa 6 usiku makelele utandani umelala kaunta.
Good approach... Ila naona wamechukua approach ya kugonga nyoka kwa kichwa hahaaaa...Wangekuwa wanaenda wanabeba maspika na miziki na kuacha wanaokunywa waendelee kunywa
Wacha wachunwe hela kwa viherehere maana vichwa ngumuTatizo bar nyingi sahvi wanalazimisha
Ziwe pia sehemu za kupiga mziki
Ova
Hii haikubaliki kabisa kiongozi...Japo wamefingia kiwanja changu hapo gentleman ila sawa tu najua ni wanawapa onyo kali, muziki inabidi uwe wa sauti ya chini, hizi bar tukumbuke nyingi zimejengwa karibu na makazi ya watu.
Waangalie pia bar za hapo kimara Korogwe zinapiga kelele sana hasa TTG na Bar ya pembeni yake hapo wanapocheza pool table ni kero sana, mtu uko kilo mita kadhaa ndani ndani ila ikifika saa 6 usiku makelele utandani umelala kaunta.
Unajua kuwa Nabii Ellen G White alizikwa kwenye kaburi la obelisk?
Unajua maana ya obelisk ?
Alafu wakiambiwa wenyewe wanakuambia,haya maeneo yashakuwa ya burdan nyie kamaNi ustaarabu tu
Kwan ukweli ukojeAlafu wakiambiwa wenyewe wanakuambia,haya maeneo yashakuwa ya burdan nyie kama
Vp muhame
Ova
Wakeshe tu kimya kimyaTatizo limeanza baa zinakesha badala ya night club yan night club ka zimekufa hvi...
Sasa cha msingi hzo baa ziwe na indoor na out door kwa nje kuwe mziki mdogo afu ndan mziki mnene na sound proof
Kero tu,kwa majiraniKwan ukweli ukoje
Kuna wakati pale uhuru peak ilikuwa shida sana makelele majirani hawalaliWakeshe tu kimya kimya
Waongeze umakiniGood approach... Ila naona wamechukua approach ya kugonga nyoka kwa kichwa hahaaaa...
Wataendelea kukamata wanywa gongoWanaoumia ni wale askari wa Defender
Walikua wanapita Kila Bar wanapewa mshiko wanatembeaWataendelea kukamata wanywa gongo
Watanyooka tuWalikua wanapita Kila Bar wanapewa mshiko wanatembea
HatariView attachment 2614513
Acha na huyu mjuaji. Hii meipokea jana toka jimbo as a music operator kukumbushwa kumaintaint. Serikali yenyewe inaelewa thamani ya kuabudu.
... nyumba ya mkazi (nyumbani) tunaambiwa mchana max. dB 50; usiku dB 35. Napimaje? Wawagawie wananchi vifaa vya kupimia na elimu ya kuvitumia kabla ya kuwaadhibu.View attachment 2614513
Acha na huyu mjuaji. Hii meipokea jana toka jimbo as a music operator kukumbushwa kumaintaint. Serikali yenyewe inaelewa thamani ya kuabudu.
Hiyo itasababisha kesiWangekuwa wanaenda wanabeba maspika na miziki na kuacha wanaokunywa waendelee kunywa
Kesi gan?Hiyo itasababisha kesi