- Thread starter
- #21
NomaJapo wamefingia kiwanja changu hapo gentleman ila sawa tu najua ni wanawapa onyo kali, muziki inabidi uwe wa sauti ya chini, hizi bar tukumbuke nyingi zimejengwa karibu na makazi ya watu. Waangalie pia bar za hapo kimara Korogwe zinapiga kelele sana hasa TTG na Bar ya pembeni yake hapo wanapocheza pool table ni kero sana, mtu uko kilo mita kadhaa ndani ndani ila ikifika saa 6 usiku makelele utandani umelala kaunta.