Hongereni sana NEMC kwa kuanza udhibiti kelele kwenye bar lakini fanyeni haya kuboresha zoezi

Hongereni sana NEMC kwa kuanza udhibiti kelele kwenye bar lakini fanyeni haya kuboresha zoezi

Japo wamefingia kiwanja changu hapo gentleman ila sawa tu najua ni wanawapa onyo kali, muziki inabidi uwe wa sauti ya chini, hizi bar tukumbuke nyingi zimejengwa karibu na makazi ya watu. Waangalie pia bar za hapo kimara Korogwe zinapiga kelele sana hasa TTG na Bar ya pembeni yake hapo wanapocheza pool table ni kero sana, mtu uko kilo mita kadhaa ndani ndani ila ikifika saa 6 usiku makelele utandani umelala kaunta.
Noma
 
Wangekuwa wanaenda wanabeba maspika na miziki na kuacha wanaokunywa waendelee kunywa
Good approach... Ila naona wamechukua approach ya kugonga nyoka kwa kichwa hahaaaa...
 
Japo wamefingia kiwanja changu hapo gentleman ila sawa tu najua ni wanawapa onyo kali, muziki inabidi uwe wa sauti ya chini, hizi bar tukumbuke nyingi zimejengwa karibu na makazi ya watu.

Waangalie pia bar za hapo kimara Korogwe zinapiga kelele sana hasa TTG na Bar ya pembeni yake hapo wanapocheza pool table ni kero sana, mtu uko kilo mita kadhaa ndani ndani ila ikifika saa 6 usiku makelele utandani umelala kaunta.
Hii haikubaliki kabisa kiongozi...
 
Unajua kuwa Nabii Ellen G White alizikwa kwenye kaburi la obelisk?
Unajua maana ya obelisk ?

IMG-20230507-WA0003.jpg

Acha na huyu mjuaji. Hii meipokea jana toka jimbo as a music operator kukumbushwa kumaintaint. Serikali yenyewe inaelewa thamani ya kuabudu.
 
Tatizo limeanza baa zinakesha badala ya night club yan night club ka zimekufa hvi...

Sasa cha msingi hzo baa ziwe na indoor na out door kwa nje kuwe mziki mdogo afu ndan mziki mnene na sound proof
 
Tatizo limeanza baa zinakesha badala ya night club yan night club ka zimekufa hvi...

Sasa cha msingi hzo baa ziwe na indoor na out door kwa nje kuwe mziki mdogo afu ndan mziki mnene na sound proof
Wakeshe tu kimya kimya
 
Wakeshe tu kimya kimya
Kuna wakati pale uhuru peak ilikuwa shida sana makelele majirani hawalali
Kuna siku walikuja wazee walimbebq sijui dj crazy na miziki yake,wakaenda kumuweka mahailli salama
Mbona badaye waliweka soundproof kwa ndani
So ni utaratibu kufata

Ova
 
View attachment 2614513

Acha na huyu mjuaji. Hii meipokea jana toka jimbo as a music operator kukumbushwa kumaintaint. Serikali yenyewe inaelewa thamani ya kuabudu.
... nyumba ya mkazi (nyumbani) tunaambiwa mchana max. dB 50; usiku dB 35. Napimaje? Wawagawie wananchi vifaa vya kupimia na elimu ya kuvitumia kabla ya kuwaadhibu.
 
Back
Top Bottom