Hongereni Sana vyawa kazi mnaifanya vizuri sana

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Mnapambana sana yani huku ground bila kujali mnalipwa buku7 au laaa! Lengo lenu hua ni boss wenu na familia yake wote waingie ikulu na maisha yao yawe ya kifalme, hakika hii imetimia!

Kinachotakiwa muongeze kasi familia na ukoo mzima wa boss wenu uwe serikalini pambaneni wazee bila kujali mnalipwa shingapi yule ndio kama Mungu wenu lazima yeye na familia yake waishi kama Mungu.
 
Atakuja shammy na msukule gallow bird na shost ake stakehigh kumwaga povu
Mmenyimwa maisha mazuri na wazazi wenu pia mmefeli kujitengenezea maisha yenu yaende sawa mnailaumu serikali...hivi nyie ni awamu gani ya utawala mliiuunga mkono...?
It's not a must for me to be on the same side as you everyone has their own opinion, and this is mine😎🔰
 
acha umalaya binti
 
Ndo

Awawauwe alishindwa kuchinja ngamia 500 kufanikisha kafara akaua watu 10k ili ukoo wenu uishi vizuri aloo
 
Back
Top Bottom