Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Ni hadi pale tutakapo amua kuwa ufisadi na wizi ndiyo njia ya kufika unapolaumu wameshindwa kufika!Mmenyimwa maisha mazuri na wazazi wenu pia mmefeli kujitengenezea maisha yenu yaende sawa mnailaumu serikali...hivi nyie ni awamu gani ya utawala mliiuunga mkono...?
It's not a must for me to be on the same side as you everyone has their own opinion, and this is mine😎🔰