Hongereni Sana vyawa kazi mnaifanya vizuri sana

Ni hadi pale tutakapo amua kuwa ufisadi na wizi ndiyo njia ya kufika unapolaumu wameshindwa kufika!
 
Watu kama nyie mlikuepo toka miaka na miaka hata babu zetu waliuzwa watu kama nyie
 
KWA TANZANIA TAJIRI WA HAWA MACHAWA ANA NGUVU KULIKO MTUME MOHAMMED S.A.W kama mnabisha mimi nitathbitisha
 

Nkishamzalia baba yako katoto ntakwambia nako patikana😎
Ila wewe demu unaonekana mtamu hembu tuachane na mambo ya masiasa mimi nataka tundaz halafu inaonekana umevaa bikini yenye rangi ya chama tawala halafu juu umepiga ushungi mwekundu na kamiwani.
 
Tajiri yenu si kasema mtumie kila mbinu kuwatuliza wakosoaji wake? Sasa mimi nihonge tu hicho kibuyu cha asali nitaachana na mambo ya kumsema tajiri
 
Naibu waziri....🤔
Dah, tutachelewa sana hivi, kama tukiwa tunainenea mema nchi yetu kwa ajili ya "material things". Lakini nakuombea wewe uje uitumikie nchi hii takatifu katika nafasi kubwa zaidi ya hii, naomba useme Amina.🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…