Elections 2015 Hongereni tena Segerea: Nina furaha tele na sijatetereka

Julius...very brilliant...very inspirational....touchy words..."!!

Tuko pamoja...daima na milele...

Ukawa, for life....👏👏👏👏👏
 
Shikamoo Kaka Mtatiro.... Naamini katika zile Nafasi 10 za Mhe. Rais, ya kwako ipo. Natamani nikuone umekamata Wizara fulani ili maccm yaone tulivyo tofauti...
Shikamoo tena..
 
Wewe unastahili kuwa mbunge wa kwanza wa kuteuliwa na rais wa UKAWA. Hata hivyo, hazina yako si lazima iwe bungeni, huenda Mungu ameishakuandalia njia nyingine mbadala ya mafanikio.
 
Ina maana wakati majimbo yanagawiwa na unchukua fomu ya kuomba kuteuliwa, UKAWA haikuwepo!?
 
HONGERENI TENA SEGEREA: NINA FURAHA TELE NA SIJATETEREKA!

Na. Julius Mtatiro,

Ndugu zangu, nimejulishwa na mtu muhimu sana kwamba jimbo la Segerea limeachwa chini ya CHADEMA lakini ndani ya UKAWA, nimeshazithibitisha taarifa hizi kwa viongozi wangu.

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa UKAWA kwa kufikia makubaliano hayo muhimu, mimi ni muasisi wa UKAWA na nimekuwa Katibu wa UKAWA katika Bunge Maalum la Katiba, naipenda UKAWA na naamini katika UKAWA; Kama viongozi wameweza kukubaliana jambo hili mimi bila KINYONGO chochote kile naunga mkono mapendekezo na maamuzi yao.

Pili nawataka wananchi wa Segerea, wanachama wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD na vyama vingine vyote waende kwenye vituo vya kupigia kura tarehe 25 Oktoba na kuchagua Diwani, Mbunge na Rais aliyesimamishwa na chama chochote cha UKAWA bila kujali mambo mengine, huu ni mwaka wa mabadiliko na lazima tuyasimamie.

Tusikubali kupumbazwa na janja za CCM kuwa angekuja Mtatiro huku Segerea tungewaunga mkono! CCM ni ileile na mtu yeyote anayegombea kupitia CCM anakwenda kuimarisha mfumo uleule uliochoka, unaonuka na kukumbatia rushwa na ufisadi, wagombea wa CCM ni walewale wanaotetea mfumo uleule ambao umelifikisha taifa letu hapa tulipo. CHAGUA vyama vya UKAWA hapa Segerea na nchi nzima bila kujali kuwa MTATIRO siyo mgombea tena.

Kwa sababu siasa siyo ajira mimi ntajikita katika masuala mengine ya ujenzi wa taifa langu ikiwemo kuelimisha wananchi katika uchaguzi na kusimamia kampuni yangu na kisha ntajipanga kuingia bungeni mwaka 2020. Nataka kuwaonya wale wenzangu na mimi ambao wako katika siasa kwa ajili ya KUTAFUTA MKATE WA KILA SIKU watambue kwamba SIYO MAHALI PAKE na kwamba wataumbuka! Ukifanya siasa usiitegemee kama sehemu ya kipato chako hata siku moja ili usijekuathirika sana kila unapokosa fursa kama nilivyokosa mimi pale Segerea.

Natoa wosia na wito kwa wagombea wote wa vyama vya UKAWA nchi nzima ambao hawatapitishwa kuwa wagombea kwenye uchaguzi huu washirikiane na wagombea waliopo ili tutafute ushindi, huu ni mwaka wa mabadiliko na mwaka wa maamuzi, shiriki kuleta mabadiliko hayo.

Na wale watakaotimkia ACT, ADC, CCM na kwingineko kwa sababu hawakupata majimbo ndani ya UKAWA nawatakia kila la heri na kuwakumbusha kuwa KIMBUNGA CHA UKAWA kitawasambaratisha kokote kule waliko bila kujali walipewa nyadhifa gani.

Nawaahidi kuendelea kusimamia ukweli na kulipigania taifa langu hadi mwisho wa maisha yangu.

Julius Mtatiro – B.A, M.A, LLB,
Mtia nia atakayewaunga mkono wagombea wa UKAWA jimbo la Segerea na nchi nzima,
Mapambano yanaendelea, ‪#‎IKISHINDA_UKAWA_TUMESHINDA_SOTE‬!
mkuu nipm namba yako nikutumie laki moja upate soda kidogo.Tz ingekuwa na watu wa aina yako milioni moja tu tusingeongozwa na viongozi mafukara wa akili toka ccm,viongozi wanaoamini watanzania milioni 45 hatuwezi kujenga barabara ya lami bila kwenda kuomba kwa wazungu.
 
MTATIRO kuna nafasi moja hapa ACT wazalendo ,mwl kaijage kantonya wahi nafasi chache ,prof kashapewa yake.#oktoba asubuhi.
 
wanasiasa wenye hulka kama ww ni hazina kwa taifa, hongera sana na mwenyezi Mungu akutangulie
 
Julius Mtatiro lazima uingie bungeni hata kwa nafasi za kuteuliwa na rais kama vile mh mbatia
Maana unastahili kuwepo huko,pigana kwanza EL aingie ikulu mengine yatafwata
 
Last edited by a moderator:
HONGERENI TENA SEGEREA: NINA FURAHA TELE NA SIJATETEREKA!

Na. Julius Mtatiro,

Ndugu zangu, nimejulishwa na mtu muhimu sana kwamba jimbo la Segerea limeachwa chini ya CHADEMA lakini ndani ya UKAWA, nimeshazithibitisha taarifa hizi kwa viongozi wangu.

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa UKAWA kwa kufikia makubaliano hayo muhimu, mimi ni muasisi wa UKAWA na nimekuwa Katibu wa UKAWA katika Bunge Maalum la Katiba, naipenda UKAWA na naamini katika UKAWA; Kama viongozi wameweza kukubaliana jambo hili mimi bila KINYONGO chochote kile naunga mkono mapendekezo na maamuzi yao.

Pili nawataka wananchi wa Segerea, wanachama wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD na vyama vingine vyote waende kwenye vituo vya kupigia kura tarehe 25 Oktoba na kuchagua Diwani, Mbunge na Rais aliyesimamishwa na chama chochote cha UKAWA bila kujali mambo mengine, huu ni mwaka wa mabadiliko na lazima tuyasimamie.

Tusikubali kupumbazwa na janja za CCM kuwa angekuja Mtatiro huku Segerea tungewaunga mkono! CCM ni ileile na mtu yeyote anayegombea kupitia CCM anakwenda kuimarisha mfumo uleule uliochoka, unaonuka na kukumbatia rushwa na ufisadi, wagombea wa CCM ni walewale wanaotetea mfumo uleule ambao umelifikisha taifa letu hapa tulipo. CHAGUA vyama vya UKAWA hapa Segerea na nchi nzima bila kujali kuwa MTATIRO siyo mgombea tena.

Kwa sababu siasa siyo ajira mimi ntajikita katika masuala mengine ya ujenzi wa taifa langu ikiwemo kuelimisha wananchi katika uchaguzi na kusimamia kampuni yangu na kisha ntajipanga kuingia bungeni mwaka 2020. Nataka kuwaonya wale wenzangu na mimi ambao wako katika siasa kwa ajili ya KUTAFUTA MKATE WA KILA SIKU watambue kwamba SIYO MAHALI PAKE na kwamba wataumbuka! Ukifanya siasa usiitegemee kama sehemu ya kipato chako hata siku moja ili usijekuathirika sana kila unapokosa fursa kama nilivyokosa mimi pale Segerea.

Natoa wosia na wito kwa wagombea wote wa vyama vya UKAWA nchi nzima ambao hawatapitishwa kuwa wagombea kwenye uchaguzi huu washirikiane na wagombea waliopo ili tutafute ushindi, huu ni mwaka wa mabadiliko na mwaka wa maamuzi, shiriki kuleta mabadiliko hayo.

Na wale watakaotimkia ACT, ADC, CCM na kwingineko kwa sababu hawakupata majimbo ndani ya UKAWA nawatakia kila la heri na kuwakumbusha kuwa KIMBUNGA CHA UKAWA kitawasambaratisha kokote kule waliko bila kujali walipewa nyadhifa gani.

Nawaahidi kuendelea kusimamia ukweli na kulipigania taifa langu hadi mwisho wa maisha yangu.

Julius Mtatiro – B.A, M.A, LLB,
Mtia nia atakayewaunga mkono wagombea wa UKAWA jimbo la Segerea na nchi nzima,
Mapambano yanaendelea, ‪#‎IKISHINDA_UKAWA TUMESHINDA_SOTE‬!

Heshima Kwako Mkuu, Hakika Taifa Linahitaji Watu Kama Nyinyi Wenye Uwezo Wa Kujitoa Kwa Ajili Ya Taifa Na Wala Si Maisha Yao Binafs, Nami Nasema Mungu Akutangulie Katika Kila Jambo Unalolifanya, Akuongee Hekima Na Maarifa Katika Shughuri Zako

tuko pamoja kiongozi
 
Shikamoo Kaka Mtatiro.... Naamini katika zile Nafasi 10 za Mhe. Rais, ya kwako ipo. Natamani nikuone umekamata Wizara fulani ili maccm yaone tulivyo tofauti...
Shikamoo tena..

Ni kichaa tu anayeamini CHADEMA itashinda.
 
HONGERENI TENA SEGEREA: NINA FURAHA TELE NA SIJATETEREKA!

Na. Julius Mtatiro,

Ndugu zangu, nimejulishwa na mtu muhimu sana kwamba jimbo la Segerea limeachwa chini ya CHADEMA lakini ndani ya UKAWA, nimeshazithibitisha taarifa hizi kwa viongozi wangu.

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa UKAWA kwa kufikia makubaliano hayo muhimu, mimi ni muasisi wa UKAWA na nimekuwa Katibu wa UKAWA katika Bunge Maalum la Katiba, naipenda UKAWA na naamini katika UKAWA; Kama viongozi wameweza kukubaliana jambo hili mimi bila KINYONGO chochote kile naunga mkono mapendekezo na maamuzi yao.

Pili nawataka wananchi wa Segerea, wanachama wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD na vyama vingine vyote waende kwenye vituo vya kupigia kura tarehe 25 Oktoba na kuchagua Diwani, Mbunge na Rais aliyesimamishwa na chama chochote cha UKAWA bila kujali mambo mengine, huu ni mwaka wa mabadiliko na lazima tuyasimamie.

Tusikubali kupumbazwa na janja za CCM kuwa angekuja Mtatiro huku Segerea tungewaunga mkono! CCM ni ileile na mtu yeyote anayegombea kupitia CCM anakwenda kuimarisha mfumo uleule uliochoka, unaonuka na kukumbatia rushwa na ufisadi, wagombea wa CCM ni walewale wanaotetea mfumo uleule ambao umelifikisha taifa letu hapa tulipo. CHAGUA vyama vya UKAWA hapa Segerea na nchi nzima bila kujali kuwa MTATIRO siyo mgombea tena.

Kwa sababu siasa siyo ajira mimi ntajikita katika masuala mengine ya ujenzi wa taifa langu ikiwemo kuelimisha wananchi katika uchaguzi na kusimamia kampuni yangu na kisha ntajipanga kuingia bungeni mwaka 2020. Nataka kuwaonya wale wenzangu na mimi ambao wako katika siasa kwa ajili ya KUTAFUTA MKATE WA KILA SIKU watambue kwamba SIYO MAHALI PAKE na kwamba wataumbuka! Ukifanya siasa usiitegemee kama sehemu ya kipato chako hata siku moja ili usijekuathirika sana kila unapokosa fursa kama nilivyokosa mimi pale Segerea.

Natoa wosia na wito kwa wagombea wote wa vyama vya UKAWA nchi nzima ambao hawatapitishwa kuwa wagombea kwenye uchaguzi huu washirikiane na wagombea waliopo ili tutafute ushindi, huu ni mwaka wa mabadiliko na mwaka wa maamuzi, shiriki kuleta mabadiliko hayo.

Na wale watakaotimkia ACT, ADC, CCM na kwingineko kwa sababu hawakupata majimbo ndani ya UKAWA nawatakia kila la heri na kuwakumbusha kuwa KIMBUNGA CHA UKAWA kitawasambaratisha kokote kule waliko bila kujali walipewa nyadhifa gani.

Nawaahidi kuendelea kusimamia ukweli na kulipigania taifa langu hadi mwisho wa maisha yangu.

Julius Mtatiro – B.A, M.A, LLB,
Mtia nia atakayewaunga mkono wagombea wa UKAWA jimbo la Segerea na nchi nzima,
Mapambano yanaendelea, ‪#‎IKISHINDA_UKAWA TUMESHINDA_SOTE‬!

Taifa linahitaji vijana wenye msimamo thahiti kama wewe, umeonyesha njia kama kiongozi...safi kamanda
 
mimi nina mtizamo tofauti na wako. baada ya Prof. Lipumba kuondoka naona chadema watachukua kila kitu. kuwa makini bro.

Back
Top Bottom