Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kama kweli nimefurahi!.M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya.
Malalamiko yao yanakuja baada ya Jeshi la Tanzania kuamua kumalizana nao kwa kichapo hasa ikizingatiwa waliwahi kuwaua wanajeshi wetu.
Niwape kongole jeshi la Tanzania kwa kutoa kichapo na niwape rai wateketeze kundi la M23 ili wananchi wawe free kwenye ardhi waliyopewa na Mungu.
Sijui kakuelewa au nimsaidieMkuu mandate imebadilika baada ya SADC deployment ya SA, TZ na Malawi forces sana ni offensive sio piece protection
Thinitisha haya usemyo kama ni kweli.M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya.
Malalamiko yao yanakuja baada ya Jeshi la Tanzania kuamua kumalizana nao kwa kichapo hasa ikizingatiwa waliwahi kuwaua wanajeshi wetu.
Niwape kongole jeshi la Tanzania kwa kutoa kichapo na niwape rai wateketeze kundi la M23 ili wananchi wawe free kwenye ardhi waliyopewa na Mungu.
Ungeatach na hiyo taarifa ungekua umeupiga mwingi sana.M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya.
Malalamiko yao yanakuja baada ya Jeshi la Tanzania kuamua kumalizana nao kwa kichapo hasa ikizingatiwa waliwahi kuwaua wanajeshi wetu.
Niwape kongole jeshi la Tanzania kwa kutoa kichapo na niwape rai wateketeze kundi la M23 ili wananchi wawe free kwenye ardhi waliyopewa na Mungu.
Hii hapoUngeatach na hiyo taarifa ungekua umeupiga mwingi sana.
Achen upumbavu na msiwe wajinga, kwani nani aliyewaambia kazi ya jeshi ni kuwaletea umeme? Na nani aliyewaambia kuwa changamoto zako ktk nchi zikufanye ushindwe kuchangia usalama wa nchi jirani?Tunapigana vita nchi za watu ila hapa nyumbani umeme tu kuuwasha unatushinda.
Hamjawai kuwa na jema ninyi kila jambo matusi na lawama, maajabu hata mkipewa uongoz ndio mtakuwa wa hovyo kuliko kawaida, kuna masuala sio ya kuleta ushabiki wa kisiasa, haswa haya mambo ya usalamaHawastahili pongezI hawa JWTZ. Mbona serikali ya Tanzania inaongozwa kizwazwa lkn hawaipindui??
Huoni wakistaafu wanapewa vyeo na ccm?Hamjawai kuwa na jema ninyi kila jambo matusi na lawama, maajabu hata mkipewa uongoz ndio mtakuwa wa hovyo kuliko kawaida, kuna masuala sio ya kuleta ushabiki wa kisiasa, haswa haya mambo ya usalama