Hongereni TPDF kwa kazi nzuri mnayofanya Congo DR; M23 wasitutishe wala kuturudisha nyuma tuwashughulikie

Hongereni TPDF kwa kazi nzuri mnayofanya Congo DR; M23 wasitutishe wala kuturudisha nyuma tuwashughulikie

hizo ni simulizi za abunuasi, Tanzania sio wajinga kiasi hicho. kuna watu wazalendo hapa Tanzania hadi huwezi amini walivyo, kama wangekuwepo wangeshafutwa kimyakimya kitambo sana.
Sasa unabisha nini mkuu au umesahau yule Colonel wa JWTZ aliyetorokea kwa Kagame miaka michache iliyopita?
 
M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya.

Malalamiko yao yanakuja baada ya Jeshi la Tanzania kuamua kumalizana nao kwa kichapo hasa ikizingatiwa waliwahi kuwaua wanajeshi wetu.

Niwape kongole jeshi la Tanzania kwa kutoa kichapo na niwape rai wateketeze kundi la M23 ili wananchi wawe free kwenye ardhi waliyopewa na Mungu.
Hiyo vita wanamchokoza Kagame. Haitaisha kwa urahisi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Watu ambao ni wachache, wana silaha duni, hawako organized nyie ndio mnawachukulia ujiko.
M23 hawana hata kirada kidogo, hawana helicopter hata moja, hawana boat ya jeshi halafu mwafrika mmoja kwa tamaa ya pesa za UN anakwenda kuwaua Waafrika wenzake wanaopigania uhuru na haki zao
 
Ungeatach na hiyo taarifa ungekua umeupiga mwingi sana.
1706996871771.jpg
 
Watu ambao ni wachache, wana silaha duni, hawako organized nyie ndio mnawachukulia ujiko.
M23 hawana hata kirada kidogo, hawana helicopter hata moja, hawana boat ya jeshi halafu mwafrika mmoja kwa tamaa ya pesa za UN anakwenda kuwaua Waafrika wenzake wanaopigania uhuru na haki zao
Ulivyo mjinga unajiabisha.....
UN wanahusika nini sasa?
 
Watu ambao ni wachache, wana silaha duni, hawako organized nyie ndio mnawachukulia ujiko.
M23 hawana hata kirada kidogo, hawana helicopter hata moja, hawana boat ya jeshi halafu mwafrika mmoja kwa tamaa ya pesa za UN anakwenda kuwaua Waafrika wenzake wanaopigania uhuru na haki zao
Comment ya kifala sana hii. Silaha duni na hawako organized ila almanusura kipindua pindua mpaka serikal ya Kongo na wako huko miaka na miaka.

Kuna tatizo gani kuua waafrika magaidi ambao kutwa kucha wanaua waafrika wasio na hatia.?

Nyie safar kaz mnayo
 
Sasa unabisha nini mkuu au umesahau yule Colonel wa JWTZ aliyetorokea kwa Kagame miaka michache iliyopita?
wale walikuwa watanzania kwa kuzaliwa ila ni watusi waliokimbilia miaka nenda rudi hapa bongo, wamezaliwa hapa, wamesoma hapa, wanaongea kiswahili hat akinyarwanda hawajui, akaingia kwenye jeshi. na alipogundulika, hatujui kama alikimbia akafanikiwa kufika rwanda au la, ila cha muhimu ni kwamba tulikuwa na uwezo kumgundua, na tutawagundua na wengine wengi tu. katika jeshi huwezi kukosa mtu ambaye sio wa asili ya nchi yenu, cha muhimu ni kuangalia asiwadhuru tu ila kuwepo sio shida. marekani kuna askari wakenyal watanzania hadi wanigeria.
 
Watu walidhani CDF alijiongelea tu vile..alikuwa na kusudi na kusudi hilo sio Rais alijue bali majirani zetu wajue..

kama angekuwa anataka Rais ajue angemwambia kwa kumuona ofisini kwake na sio public vile..
True now nimemuelewa
 
Back
Top Bottom