Hongereni TPDF kwa kazi nzuri mnayofanya Congo DR; M23 wasitutishe wala kuturudisha nyuma tuwashughulikie

Hongereni TPDF kwa kazi nzuri mnayofanya Congo DR; M23 wasitutishe wala kuturudisha nyuma tuwashughulikie

M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya.

Malalamiko yao yanakuja baada ya Jeshi la Tanzania kuamua kumalizana nao kwa kichapo hasa ikizingatiwa waliwahi kuwaua wanajeshi wetu.

Niwape kongole jeshi la Tanzania kwa kutoa kichapo na niwape rai wateketeze kundi la M23 ili wananchi wawe free kwenye ardhi waliyopewa na Mungu.
JWTZ this time wasiishie DRC tu,waende mpaka Kigali tatizo linapoanzia!
 
Hao m 23 kwanini warushe lawama kwa TPDF badala ya SADEC?. Jeshi lililoenda Congo si la Tz bali SADEC.

Hao waasi waliwahi kufurushwa enzi za JK, wakakimbilia Uganda, ilikuwaje wakarudi?. Kama si uhuni wa Mu7 na Kagame?.
Btw. Rwanda ku back up waasi hao ni kiashiria kuwa hayuko smart. Otherwise angesuka mpango wa kunufaika pasipo kusababisha kelele.
 
They are soooo welcome. Ndio maana juzi kabla ya kichapo tuliwa bip kwamba "tunajua kuna wakimbiz wako kwemye ngazi za maamuzi".
Hakunaga kitu kinafanyika kwa bahati mbaya wazee.. kwenye masuala sensitive kama haya watu huwa wanajitahid kukaa chini na kupiga hesabu vizuri maana one mistake u make, will make u suffer.
Meseji iko send and delivered.
Kama ana akili . Ajipange upya. Tunawapiga tukiwa tunajua in out yao
 
Siku hizi kila kitu uchumi, tofauti na zamani, ilikuwa siasa, uwepo wa jeshi kongo una maslahi ya kiuchumi kwetu? Kongo wameweka komitment za kiuchumi kwetu?
Usiseme kwa Sauti. Hawakawii kubadilisha maneno
 
Thinitisha haya usemyo kama ni kweli.
Screenshot_20240204-175103.jpg
 
Ana watu wake hadi huko JWTZ
hizo ni simulizi za abunuasi, Tanzania sio wajinga kiasi hicho. kuna watu wazalendo hapa Tanzania hadi huwezi amini walivyo, kama wangekuwepo wangeshafutwa kimyakimya kitambo sana.
 
M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya.

Malalamiko yao yanakuja baada ya Jeshi la Tanzania kuamua kumalizana nao kwa kichapo hasa ikizingatiwa waliwahi kuwaua wanajeshi wetu.

Niwape kongole jeshi la Tanzania kwa kutoa kichapo na niwape rai wateketeze kundi la M23 ili wananchi wawe free kwenye ardhi waliyopewa na Mungu.
Iweke hiyo taarifa yao hapa kama unayo.
 
Acha ujinga mwenyewe. Halafu usinipangie Cha kusema. JWTZ inabakia kuwa robot machine ya CCM. 2015 walizunguka jengo matokeo yalipokuwa yanatangazwa Zanzibar na kumtishia Jecha mpaka kufuta matokeo. Wakabakia Zanzibar kuzunguka na mavifaru yao. Very stupid robots.

2020 ndio wakatumika kuiba kura na ujinga wote. Yani wakatumika kuongeza siku moja ya kupiga kura kwa akili ya JWTZ. Very stupid robots.
Mzee jiandae kurudi Nyumbani.....
Kila yakiguswa maslahi ya Rwanda huwa unawaka sana.
Its time tuwakumbushe nafasi yenu.
 
hizo ni simulizi za abunuasi, Tanzania sio wajinga kiasi hicho. kuna watu wazalendo hapa Tanzania hadi huwezi amini walivyo, kama wangekuwepo wangeshafutwa kimyakimya kitambo sana.

Kama jiwe alitekwa PK unahisi nani hatekwi?
 
Back
Top Bottom