Hongereni TPDF kwa kazi nzuri mnayofanya Congo DR; M23 wasitutishe wala kuturudisha nyuma tuwashughulikie

Hongereni TPDF kwa kazi nzuri mnayofanya Congo DR; M23 wasitutishe wala kuturudisha nyuma tuwashughulikie

M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya.

Malalamiko yao yanakuja baada ya Jeshi la Tanzania kuamua kumalizana nao kwa kichapo hasa ikizingatiwa waliwahi kuwaua wanajeshi wetu.
Nyuma yao si yupo yule slim boy anayepandikiza vimelea vyake huku kanda ya Magharibi
 
Mbona kama kuna harufu ya kuchonganishwa hapa.

Miaka yote hiyo watu wamepigana hatujawahi kusikia chochote, baada ya kututafuta kwq muda mrefu wameona tupo na amani kama wanajaribu kutafuta Justification ya kuingia huku kwetu.

Nawaza tu.
 
Mkuu Lord,
Hata mimi nimjaribu kufikiria hili jambo.

Yaani kuna kila aina ya viashiria kuna Justification inatumika hapa kuharibu Amani ya nchi.
They are soooo welcome. Ndio maana juzi kabla ya kichapo tuliwa bip kwamba "tunajua kuna wakimbiz wako kwemye ngazi za maamuzi".
Hakunaga kitu kinafanyika kwa bahati mbaya wazee.. kwenye masuala sensitive kama haya watu huwa wanajitahid kukaa chini na kupiga hesabu vizuri maana one mistake u make, will make u suffer.
 
Watu walidhani CDF alijiongelea tu vile..alikuwa na kusudi na kusudi hilo sio Rais alijue bali majirani zetu wajue..

kama angekuwa anataka Rais ajue angemwambia kwa kumuona ofisini kwake na sio public vile..
 
Siku hizi kila kitu uchumi, tofauti na zamani, ilikuwa siasa, uwepo wa jeshi kongo una maslahi ya kiuchumi kwetu? Kongo wameweka komitment za kiuchumi kwetu?
 
Mkuu mandate imebadilika baada ya SADC deployment ya SA, TZ na Malawi forces sana ni offensive sio piece protection
Wewe utakuwa mjeda kabisa. Layman kama mimi siwezi kutaja hayo mambo kama deployment, offensive. Konge sana wanajeshi wetu. Tembezeni kichapo mpaka sauti ya kung'aka itomee jijini Kigali.
 
Thinitisha haya usemyo kama ni kweli.
1707024514712.png
 
Siku hizi kila kitu uchumi, tofauti na zamani, ilikuwa siasa, uwepo wa jeshi kongo una maslahi ya kiuchumi kwetu? Kongo wameweka komitment za kiuchumi kwetu?
Sasa kama wewe unalijua hilo unafkkir wao watakua hawajajiuliza. Hiz sio vita zile za nyerere za kupigania uzalendo..
 
Back
Top Bottom