Hongereni TPDF kwa kazi nzuri mnayofanya Congo DR; M23 wasitutishe wala kuturudisha nyuma tuwashughulikie

JWTZ this time wasiishie DRC tu,waende mpaka Kigali tatizo linapoanzia!
 
Hao m 23 kwanini warushe lawama kwa TPDF badala ya SADEC?. Jeshi lililoenda Congo si la Tz bali SADEC.

Hao waasi waliwahi kufurushwa enzi za JK, wakakimbilia Uganda, ilikuwaje wakarudi?. Kama si uhuni wa Mu7 na Kagame?.
Btw. Rwanda ku back up waasi hao ni kiashiria kuwa hayuko smart. Otherwise angesuka mpango wa kunufaika pasipo kusababisha kelele.
 
Meseji iko send and delivered.
Kama ana akili . Ajipange upya. Tunawapiga tukiwa tunajua in out yao
 
Siku hizi kila kitu uchumi, tofauti na zamani, ilikuwa siasa, uwepo wa jeshi kongo una maslahi ya kiuchumi kwetu? Kongo wameweka komitment za kiuchumi kwetu?
Usiseme kwa Sauti. Hawakawii kubadilisha maneno
 
Ana watu wake hadi huko JWTZ
hizo ni simulizi za abunuasi, Tanzania sio wajinga kiasi hicho. kuna watu wazalendo hapa Tanzania hadi huwezi amini walivyo, kama wangekuwepo wangeshafutwa kimyakimya kitambo sana.
 
Iweke hiyo taarifa yao hapa kama unayo.
 
Mzee jiandae kurudi Nyumbani.....
Kila yakiguswa maslahi ya Rwanda huwa unawaka sana.
Its time tuwakumbushe nafasi yenu.
 
hizo ni simulizi za abunuasi, Tanzania sio wajinga kiasi hicho. kuna watu wazalendo hapa Tanzania hadi huwezi amini walivyo, kama wangekuwepo wangeshafutwa kimyakimya kitambo sana.

Kama jiwe alitekwa PK unahisi nani hatekwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…