CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Sasa unabisha nini mkuu au umesahau yule Colonel wa JWTZ aliyetorokea kwa Kagame miaka michache iliyopita?hizo ni simulizi za abunuasi, Tanzania sio wajinga kiasi hicho. kuna watu wazalendo hapa Tanzania hadi huwezi amini walivyo, kama wangekuwepo wangeshafutwa kimyakimya kitambo sana.
Hiyo vita wanamchokoza Kagame. Haitaisha kwa urahisi.M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya.
Malalamiko yao yanakuja baada ya Jeshi la Tanzania kuamua kumalizana nao kwa kichapo hasa ikizingatiwa waliwahi kuwaua wanajeshi wetu.
Niwape kongole jeshi la Tanzania kwa kutoa kichapo na niwape rai wateketeze kundi la M23 ili wananchi wawe free kwenye ardhi waliyopewa na Mungu.
Ndio hao vijana wake hawana namna ya kumsaidia sasaAna watu wake hadi huko JWTZ
Apigwe tu wanyarwanda tunaishi nao hukuHiyo vita wanamchokoza Kagame. Haitaisha kwa urahisi.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Hayo ni mambo yenu raia, mkae mmalizane na raia wenzenuHawastahili pongezI hawa JWTZ. Mbona serikali ya Tanzania inaongozwa kizwazwa lkn hawaipindui??
Ungeatach na hiyo taarifa ungekua umeupiga mwingi sana.
Ulivyo mjinga unajiabisha.....Watu ambao ni wachache, wana silaha duni, hawako organized nyie ndio mnawachukulia ujiko.
M23 hawana hata kirada kidogo, hawana helicopter hata moja, hawana boat ya jeshi halafu mwafrika mmoja kwa tamaa ya pesa za UN anakwenda kuwaua Waafrika wenzake wanaopigania uhuru na haki zao
Comment ya kifala sana hii. Silaha duni na hawako organized ila almanusura kipindua pindua mpaka serikal ya Kongo na wako huko miaka na miaka.Watu ambao ni wachache, wana silaha duni, hawako organized nyie ndio mnawachukulia ujiko.
M23 hawana hata kirada kidogo, hawana helicopter hata moja, hawana boat ya jeshi halafu mwafrika mmoja kwa tamaa ya pesa za UN anakwenda kuwaua Waafrika wenzake wanaopigania uhuru na haki zao
Kwani JWTZ wao siyo raia? Nao ni raia, siyo maroboti.Hayo ni mambo yenu raia, mkae mmalizane na raia wenzenu
wale walikuwa watanzania kwa kuzaliwa ila ni watusi waliokimbilia miaka nenda rudi hapa bongo, wamezaliwa hapa, wamesoma hapa, wanaongea kiswahili hat akinyarwanda hawajui, akaingia kwenye jeshi. na alipogundulika, hatujui kama alikimbia akafanikiwa kufika rwanda au la, ila cha muhimu ni kwamba tulikuwa na uwezo kumgundua, na tutawagundua na wengine wengi tu. katika jeshi huwezi kukosa mtu ambaye sio wa asili ya nchi yenu, cha muhimu ni kuangalia asiwadhuru tu ila kuwepo sio shida. marekani kuna askari wakenyal watanzania hadi wanigeria.Sasa unabisha nini mkuu au umesahau yule Colonel wa JWTZ aliyetorokea kwa Kagame miaka michache iliyopita?
True now nimemuelewaWatu walidhani CDF alijiongelea tu vile..alikuwa na kusudi na kusudi hilo sio Rais alijue bali majirani zetu wajue..
kama angekuwa anataka Rais ajue angemwambia kwa kumuona ofisini kwake na sio public vile..