Mkuu baharini bahari likiwa limetulia kwa mwezi naweza kupata kama shilling ngapi?nikiwa sina vifaa vyangu mwenyewe.Mpk hapo wewe tayari utakufa maskini. Hakuna namna utatoboa.
Kwasbb mpk Sasa utakuwa ushaanzisha familia kmtoto amama watoto wameanza shule ama wanakaribia kuanza. Hako kamshahara knatakiwa kaanze kugawanywa kwenda kwenye ada.
Ukijibana mtoto asome st. Kayumba, mtoto atamaliza akiwa teja, ama tatiwa mimba. Unakaribisha utegemezi usiokwiasha na uzee wenye tabu.
Acha kazi hiyo, njoo baharini huku tuvue samaki..
Nini kifanyike wapate staiki zao?Na daraja lenyewe lilishakatika
Siku mbaya kabisa 70,000 kwa siku. Lkn siku nzuri unavuta mgawo mpk wa 800k.Mkuu baharini bahari likiwa limetulia kwa mwezi naweza kupata kama shilling ngapi?nikiwa sina vifaa vyangu mwenyewe.
Mkuu hapo ukiwa sehemu gani? Au popote ambapo kuna bahari... ila kumbuka kazi ya baharini ni nusu kifo, pesa utapata ila afya inadhohofika haraka sanaa na kifo mda wowoteSiku mbaya kabisa 70,000 kwa siku. Lkn siku nzuri unavuta mgawo mpk wa 800k.
Ukijichanga ukaunda ngalawa yako ya 2M, ukiitumia mwenyewe kuvua utatengeneza 1M mpk 1.3M kwa siku baada ya kuwalipa wadaidizi.
Ukiikodisha, kila siku utaletewa laki 5.
Nicheki pmSiku mbaya kabisa 70,000 kwa siku. Lkn siku nzuri unavuta mgawo mpk wa 800k.
Ukijichanga ukaunda ngalawa yako ya 2M, ukiitumia mwenyewe kuvua utatengeneza 1M mpk 1.3M kwa siku baada ya kuwalipa wadaidizi.
Ukiikodisha, kila siku utaletewa laki 5.
Maskini hana stahiki,anachotakiwa kupewa ni fadhila kufikiriwa makombo baada ya vinono kuliwa na walio daraja la kwanza/juu.Nini kifanyike wapate staiki zao?
Tumuombe Mungu aingilie kati.nina mwanangu aliajiriwa 2013 ila mpka leo alichoweza kununua ni brevis mbovu na imeshakufa tukaenda kuikata machuma na kula bata mbali na hapo jamaa ana hali ngumu sana
Hakuna mawaailiano?πππNa daraja lenyewe lilishakatika
Aaaaa wapiii.Aanze kuokota chupa tupu akauze viwanda bubu iwe mbadala wa kipato cha ziada.πTumuombe Mungu aingilie kati.