Mkuu baharini bahari likiwa limetulia kwa mwezi naweza kupata kama shilling ngapi?nikiwa sina vifaa vyangu mwenyewe.Mpk hapo wewe tayari utakufa maskini. Hakuna namna utatoboa.
Kwasbb mpk Sasa utakuwa ushaanzisha familia kmtoto amama watoto wameanza shule ama wanakaribia kuanza. Hako kamshahara knatakiwa kaanze kugawanywa kwenda kwenye ada.
Ukijibana mtoto asome st. Kayumba, mtoto atamaliza akiwa teja, ama tatiwa mimba. Unakaribisha utegemezi usiokwiasha na uzee wenye tabu.
Acha kazi hiyo, njoo baharini huku tuvue samaki..