Hongereni wafanyakazi wote wa serikali mlioajiriwa APRIL 1, 2014, Leo mmetimiza miaka 10, (miaka 10 kupandishwa cheo mara moja!) Hongereni!

Mpk hapo wewe tayari utakufa maskini. Hakuna namna utatoboa.

Kwasbb mpk Sasa utakuwa ushaanzisha familia kmtoto amama watoto wameanza shule ama wanakaribia kuanza. Hako kamshahara knatakiwa kaanze kugawanywa kwenda kwenye ada.

Ukijibana mtoto asome st. Kayumba, mtoto atamaliza akiwa teja, ama tatiwa mimba. Unakaribisha utegemezi usiokwiasha na uzee wenye tabu.

Acha kazi hiyo, njoo baharini huku tuvue samaki..
Mkuu baharini bahari likiwa limetulia kwa mwezi naweza kupata kama shilling ngapi?nikiwa sina vifaa vyangu mwenyewe.
 
Siku mbaya kabisa 70,000 kwa siku. Lkn siku nzuri unavuta mgawo mpk wa 800k.

Ukijichanga ukaunda ngalawa yako ya 2M, ukiitumia mwenyewe kuvua utatengeneza 1M mpk 1.3M kwa siku baada ya kuwalipa wadaidizi.

Ukiikodisha, kila siku utaletewa laki 5.
 
Mkuu hapo ukiwa sehemu gani? Au popote ambapo kuna bahari... ila kumbuka kazi ya baharini ni nusu kifo, pesa utapata ila afya inadhohofika haraka sanaa na kifo mda wowote
 
Siku mbaya kabisa 70,000 kwa siku. Lkn siku nzuri unavuta mgawo mpk wa 800k.

Ukijichanga ukaunda ngalawa yako ya 2M, ukiitumia mwenyewe kuvua utatengeneza 1M mpk 1.3M kwa siku baada ya kuwalipa wadaidizi.

Ukiikodisha, kila siku utaletewa laki 5.
Nicheki pm
 
nina mwanangu aliajiriwa 2013 ila mpka leo alichoweza kununua ni brevis mbovu na imeshakufa tukaenda kuikata machuma na kula bata mbali na hapo jamaa ana hali ngumu sana
 
Njmeajiriwa serikalini mwaka 1892 na kipindi hicho mshahara elfu 70
 
Back
Top Bottom