Hongereni Yanga kwa usajili mzuri 2021/2022

Kila msimu maneno ni haya haya.... Twendeni Morocco Waarabu wanatusubiri Bana Congo
 
😀😀😀 Nikazie mwaka wetu huu.

Kule tumewaachia ukimya kama mmefiwa vile 😉 hamna amsha amsha sasa , si usajili si 5imba day.

Ila mtafika tu Kaka. 😀😀
Kila msimu maneno ni haya haya.... Twendeni Morocco Waarabu wanatusubiri Bana Congo
 
Muda ni rafiki mzuri. Msimu ujao Simba kuwa bingwa, ni ndoto ya mchana! Naitabiria kushika nafasi ya 3 nyuma ya Yanga 1 na Azam 2.
Muda ni rafiki mzuri. Msimu ujao Simba kuwa bingwa, ni ndoto ya mchana! Naitabiria kushika nafasi ya 3 nyuma ya Yanga 1 na Azam 2.
ninahisi unatumia ugoro, Yanga yenye wachezaji 10 wapya wachukue ubingwa? labda wa ndondo kap
 
Utopolo mtakuja zikimbia nyuzi zenu hivi karibuni! Nyie vimbeni mibichwa kama mmesajili messi! Mkumbuke raly bwalya, bm3, mugalu, bocko, kagere, onyango na manula bado wapo! Nawapa tahadhari msije angushia jumba bovu Tff.
We mkia usipopata msaada wa Tff uwanjan humfungi yanga miaka 10 mbele
 
Yanga ni moto, sioni timu ya bongo hii itakayoshindwa kuachia points 3 mbele ya Yanga
 
Hiyo ni Yanga au ni As Vita club timu B.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Simba isiyo na Clotus Chama au Konde Boy, ni sawa na Simba kibogoyo!

Bora hata angebakishwa mmojawapo kati ya hawa mastaa wenu wawili.
River United Ni timu ya gani tena
 
ila Utopolo safari hii inatisha, kipindi kilichoisha walikuwa na hakina Sarpong wakatuenyesha, safari hii wako vizuri
 
Naiona Vita Kali Sana ya kugombea namba 2 Kati ya Simba na Azam
 
KAWAIDA YENU KUWASIFU KIPINDI HIKI. MWISHO WA MSIMU ZNAKUWA POROJO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…