Hongereni Yanga kwa usajili mzuri 2021/2022

Hongereni Yanga kwa usajili mzuri 2021/2022

Utopolo mtakuja zikimbia nyuzi zenu hivi karibuni! Nyie vimbeni mibichwa kama mmesajili messi! Mkumbuke raly bwalya, bm3, mugalu, bocko, kagere, onyango na manula bado wapo! Nawapa tahadhari msije angushia jumba bovu Tff.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah! Wananchi mnafukua makaburi!! Makolo huwa wanaumia sana wakiona mada za aina hii.
 
Hatimaye usajili mzuri, umeiletea timu matunda mazuri.

Naamini kikosi kikiboreshwa tena msimu huu, basi matokeo ya msimu ujao yatakuwa ni bora zaidi ya haya tuliyopata ya msimu huu.
 
Back
Top Bottom