Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Naiona Vita Kali Sana ya kugombea namba 2 Kati ya Simba na Azam
Uto mnafaa sana kwa kumpa matumaini mgonjwa anaekaribia umauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naiona Vita Kali Sana ya kugombea namba 2 Kati ya Simba na Azam
Naiona Vita Kali Sana ya kugombea namba 2 Kati ya Simba na Azam
Halafu wakimanuliwa lawama zote kwa TFFKAWAIDA YENU KUWASIFU KIPINDI HIKI. MWISHO WA MSIMU ZNAKUWA POROJO
Bm3 anapotea soon, usisahau rungu la CAS linakujaUtopolo mtakuja zikimbia nyuzi zenu hivi karibuni! Nyie vimbeni mibichwa kama mmesajili messi! Mkumbuke raly bwalya, bm3, mugalu, bocko, kagere, onyango na manula bado wapo! Nawapa tahadhari msije angushia jumba bovu Tff.
Na nyie muhonge pesa Leo ili mushindeJana bila hela mlizompa refa mlikuwa mnafungwa
Sisi tunashinda bila mbeleko wala makando kandoNa nyie muhonge pesa Leo ili mushinde
Ww kolo, wenzio washakubali kuwa Yànga wana pira sambusa mwaka huu sasa we endeleza unafiki na ukweli kuwa utateseka sana mwaka huu..Sisi tunashinda bila mbeleko wala makando kando
Nyie utopolo tushawazoea Kama kawa tunawatanguliza round ya 20 halafu tunaan,a msakoWw kolo, wenzio washakubali kuwa Yànga wana pira sambusa mwaka huu sasa we endeleza unafiki na ukweli kuwa utateseka sana mwaka huu..
Sisi ndo wananchi hatushikiki.. Mwaka huu tunavunja record ya kumili namba 1 toka ligi linaanza hadi kutamatika.. Tz hii siioni timu ya kuifungà yanga.
Hamuogopi kweli kukutana na litimu linalopiga pasi zaidi ya 40 uwanjani, na pasipo timu pinzani kugusa huo mpira?Nyie utopolo tushawazoea Kama kawa tunawatanguliza round ya 20 halafu tunaan,a msako
Tayari mdaka mishale kashaachia, ngoja mvua zianze mkacheze Sokoine Stadium, mtajua hamjui, GSM wanawasaidia kufikiri.Tena tunawasubiri sana nyie Makolo tuwapige tena kama ile tarh 25 September..
Safar hii mtakula 3plus
Johora ni mtanzania alienda Burundi kusaka maisha tuJohora nasikia sio mrundi ni mbongo ila kaanzia kucheza burundi
Ni jambo la kushukuru utabiri na pongezi zangu, hatimaye zimezaa matunda.Naomba nichukue nafasi hii nikiwa kama mdau wa michezo na shabiki mkubwa wa timu ya Yanga (Timu ya Wananchi), kuupongeza uongozi wa timu, chini ya Mwenyekiti Mshindo Msolla, Wadhamini wa timu, benchi la ufundi, na wadau wote kwa ujumla! Kwa kufanya usajili mzuri.
Nimekiona hiki kikosi mahali fulani! Baada ya kukikagua kwa muda mrefu, nimejiridhisha ni kikosi bora! Na nina imani kubwa kitafanya vizuri kwenye ligi yetu ya ndani, na pia kwenye mashindano ya kimataifa.
Magolikipa;
Djgui Diarra, na Eric Johora.
Walinzi;
Djuma Shaban, Kibwana Shomari, David Bryson, Adeyun Saleh, Yassin Mustapha, Abdallah Shaibu, Dickson Job, Bakary Mwamnyeto, Yanick Bangala.
Viungo;
Khalid Aucho, Mukoko Tonombe, Deus Kaseke, Feisal Salum, Zawadi Mauya, Saido Ntibazonkiza, Farid Mussa, Balama Mapinduzi, Jesus Moloko, Ditram Nchimbi, Dickson Ambundo.
Wasambuliaji;
Fiston Mayele, Heritiel Makambo, Yacouba Sogne, Yusuph Athumani!
Binafsi nilitamani sana kumuona pia mlinda mlango Metacha Mnata akiwemo, badala ya huyo golikipa Mrundi! Lakini ndiyo hivyo tena.
Kwa usajili huu, unaona kabisa viongozi wa Yanga wamekubali kubadilika. Hawajasajili kishabiki, au kwa kukurupuka kama ilivyokuwa kwa misimu miwili iliyopita. Badala yake wamesajili watu wa kazi!!
Hakika naamini kati ya Yanga na Azam, mmojawao kati yao atachukua ubingwa wa ligi kuu! Huku Yanga ikiwa na nafasi kubwa zaidi! Hakika Yanga ya msimu ujao ni 🔥🔥
Hongera pia kwa kuwa mwana michezo na siyo shabiki asiye na maono.Ni jambo la kushukuru utabiri na pongezi zangu, hatimaye zimezaa matunda.
Hongereni Wananchi kwa usajili mzuri msimu huu! Na hongereni pia kwa kuwa Mabingwa wapya wa ligi kuu msimu huu wa 2021/2022.
Sasa ni wakati wa kujipanga kwa mashindano ya Kimataifa, lakini pia kwa ajili ya kutetea ubingwa wenu msimu ujao.
Ni ombi langu mfanye usajili makini kwa wachezaji wachache mtakao waongeza. Hakika najivunia kuwa Mwananchi [emoji123][emoji123]
Tukutane msimu ujao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2297][emoji2297]Msimu ujao kuna kila dalili biriani haitaiva kwa majirani zetu. Maana wote mtakuwa mko busy kucheza ndombolo ya solo!!!
Sasa kama mmeuza wachezaji wote walio wapa kiburi , mtabakiwa na nani!! Akina Ajibu!!! Tutaona.
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Utopolo mtakuja zikimbia nyuzi zenu hivi karibuni! Nyie vimbeni mibichwa kama mmesajili messi! Mkumbuke raly bwalya, bm3, mugalu, bocko, kagere, onyango na manula bado wapo! Nawapa tahadhari msije angushia jumba bovu Tff.
[emoji23]vipi mtaniUtopolo mtakuja zikimbia nyuzi zenu hivi karibuni! Nyie vimbeni mibichwa kama mmesajili messi! Mkumbuke raly bwalya, bm3, mugalu, bocko, kagere, onyango na manula bado wapo! Nawapa tahadhari msije angushia jumba bovu Tff.