Hongereni Yanga kwa usajili mzuri 2021/2022

Utopolo mtakuja zikimbia nyuzi zenu hivi karibuni! Nyie vimbeni mibichwa kama mmesajili messi! Mkumbuke raly bwalya, bm3, mugalu, bocko, kagere, onyango na manula bado wapo! Nawapa tahadhari msije angushia jumba bovu Tff.
Bm3 anapotea soon, usisahau rungu la CAS linakuja
 
Sisi tunashinda bila mbeleko wala makando kando
Ww kolo, wenzio washakubali kuwa YΓ nga wana pira sambusa mwaka huu sasa we endeleza unafiki na ukweli kuwa utateseka sana mwaka huu..
Sisi ndo wananchi hatushikiki.. Mwaka huu tunavunja record ya kumili namba 1 toka ligi linaanza hadi kutamatika.. Tz hii siioni timu ya kuifungΓ  yanga.
 
Tena tunawasubiri sana nyie Makolo tuwapige tena kama ile tarh 25 September..
Safar hii mtakula 3plus
 
Nyie utopolo tushawazoea Kama kawa tunawatanguliza round ya 20 halafu tunaan,a msako
 
Nyie utopolo tushawazoea Kama kawa tunawatanguliza round ya 20 halafu tunaan,a msako
Hamuogopi kweli kukutana na litimu linalopiga pasi zaidi ya 40 uwanjani, na pasipo timu pinzani kugusa huo mpira?

Kwa Yanga ya msimu huu, hakuna mechi mtakayo pata hata sare. Mechi zote mtafungwa.
 
Nafarijika matunda yanaonekana. Hakika Yanga msimu huu ni πŸ”₯πŸ”₯
 
Usajiri huu tumepatia Sana lakini bangala ni zaidi
Jamaa ni muhimu Sana huyu kwenye ulinzi
Ukija kibabe utamkuta, ukija kistaarabu utamkuta pia.
 
Ni jambo la kushukuru utabiri na pongezi zangu, hatimaye zimezaa matunda.

Hongereni Wananchi kwa usajili mzuri msimu huu! Na hongereni pia kwa kuwa Mabingwa wapya wa ligi kuu msimu huu wa 2021/2022.

Sasa ni wakati wa kujipanga kwa mashindano ya Kimataifa, lakini pia kwa ajili ya kutetea ubingwa wenu msimu ujao.

Ni ombi langu mfanye usajili makini kwa wachezaji wachache mtakao waongeza. Hakika najivunia kuwa Mwananchi πŸ’ͺπŸ’ͺ

Tukutane msimu ujao.
 
Hongera pia kwa kuwa mwana michezo na siyo shabiki asiye na maono.
 
Msimu ujao kuna kila dalili biriani haitaiva kwa majirani zetu. Maana wote mtakuwa mko busy kucheza ndombolo ya solo!!!

Sasa kama mmeuza wachezaji wote walio wapa kiburi , mtabakiwa na nani!! Akina Ajibu!!! Tutaona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2297][emoji2297]
 
Utopolo mtakuja zikimbia nyuzi zenu hivi karibuni! Nyie vimbeni mibichwa kama mmesajili messi! Mkumbuke raly bwalya, bm3, mugalu, bocko, kagere, onyango na manula bado wapo! Nawapa tahadhari msije angushia jumba bovu Tff.
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…