[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utopolo mtakuja zikimbia nyuzi zenu hivi karibuni! Nyie vimbeni mibichwa kama mmesajili messi! Mkumbuke raly bwalya, bm3, mugalu, bocko, kagere, onyango na manula bado wapo! Nawapa tahadhari msije angushia jumba bovu Tff.
Hapo kwa 3 ndo umepuyanga.Yanga hana huo uwezo mbele ya simba.Tayari mdaka mishale kashaachia, ngoja mvua zianze mkacheze Sokoine Stadium, mtajua hamjui, GSM wanawasaidia kufikiri.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Ongea tenahatimaye YANGA yawa LINGALA FC
Ujinga ni kipajiWasipochukua kombe tukufanye nini
Ona hii mikiaHuyu golikipa wa Uto toka mali ni mzee,Yanga wamepigwa..hakuna miaka 25 pale...Ya Saido kuwa majeruhi mara kwa mara yatajirudia kwa Djuma
Unasema?hapo ndio mnapokosea, LINGALA FC mtakaa chini tena, ubingwa mata ya 5,
Sawahatimaye YANGA yawa LINGALA FC