HooneyMoon itangulie kabla ya ndoa. Watumishi wa mungu lisimamieni hili kuokoa ndoa za watu

HooneyMoon itangulie kabla ya ndoa. Watumishi wa mungu lisimamieni hili kuokoa ndoa za watu

Morning Glory1

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2019
Posts
475
Reaction score
936
Kila mmoja atakubaliana na mimi kua kwasasa ndoa nyingi zinavunjika na ukijaribu kufuatilia kwa undani na kwa umakini zaidi sababu hasa ya ndoa hizo kuvunjika utagundua kua hakuna sababu zozote za msingi zinazopelekea ndoa hizo kuvunjika...utakuta sababu ni zilezile za siku zote kama vile mwanaume huyu hadindishi..

Mara sijui anakibamia...au pengine mwanaume huyu mwili wake wa baridi....au wengine utawasikia wakisema mwanamke huyu anamiliki mto msimbazi ...mwingine utamsikia akisema nimemuacha mke wangu kwasababu kabarikiwa bwawa la mtera. wengine utasikia mwanamke huyu mashine yake ya baridi au imerojeka sana n.k..zote hizi ni baadhi tu ya sababu na sitaki kutoa mifano hai kwa kuwataja watu majina kwasababu sio dhumuni la bango ili ...lakini inamaana hawa watumishi wa mungu tulionao(wakristu kwa waisalmu) hawajaliona kama hili ni tatizo?!!

Ifike hatua wanandoa watarajiwa wapewe angalau wiki moja ya kwenda "hooneymoon" kabla ya kuwaapisha kiapo cha ndoa ili wakienda uko kwenye "mwezi wa asali" waweze kutumia mda huo kupimana vzr size za maumbile yao na uwezo wao wa kushiriki tendo na pullingi zao zina uwezo wa kuhimili round ngapi. kama mzigo ni kibamia,tango,tight,bwawa au umerojeka..au mzigo umechoka kila mtu ajue mapema kabla ya ndoa.

Na pia ningependa kutumia nafasi hii kuwaomba watumishi wa Mungu muda ule wa kuwaapisha wanandoa kiapo cha ndoa kuwepo na swali maalum ambalo kila mwanandoa anapwasa kulijibu kama mzigo wa mwenzie ameulewa,na kama sio size yake au hauna maajabu aweke wazi

Tukifanya ivi naamini tutaweza kutatua tatizo la ndoa nyingi kuvunjika kwasababu zisizo na msingi wowote na pia tutaziponya ndoa nyingi sana.

Naomba kuwasilisha mada mezani kwa maoni zaidi..karibuni🙏
 
Unataka watumishi wa MUNGU waende kinyume na NENO LA MUNGU kisa ndoa kuvunjika

Ni mara mia ndoa zivunjike lakin siyo kuvunja NENO LA MUNGU

Shida ya siku hizi wengi wanaingia kwenye ndoa kwa tamaa zao tu hasa wanawake anaingia kwenye ndoa kwa ajili ya show tu ndugu zake na si kwa ajili ya maisha yake

Ndoa ipo kwa ajili ya maisha yako siyo kwa ajili ya maisha ya watu wengine

Ingia kwenye ndoa kwa ajili ya maisha yako si kwa ajili ya kuwafurahisha watu
 
Uzinzi na uasherati unapiganiwa kwa nguvu zote.
Ila wabongo kwa kupenda mzagamuo, nawagawa buree. Lol
😂😂😂😂😂
 
Most of broken marriages watu walishazagamuana sana.
Dawa ni vijana waoane kabla hawajawahi kuzini.
Mtu anapokuwa MZINZI anakuwa kama tahira fulani hivi. That's why wanaachana kizembe
 
Hao wanao vunja ndoa na kuvunjiana heshima ya maneno ya namna hiyo huaga wamejuana baada ya kufungishwa ndoa au hua wana Chelsea kiporo? Nenda kafatilie, hao walikua wapenzi kwa muda tu, baada ya kunogewa ndio wanafungaga ndoa so pendekezo lako halisaidii sana. Hilo bwawa au kibamia ni maneno tu ya kuhalalisha uvunjaji wao wa ndoa, don't take itbso serious. Kibamia na bwawa vyote wajuana zamani.
Kitu kimoja ambacho kinanipa shida sana ni kwamba, siku hizi hata wanaume nao wameanza kueleza udhaifu wa wake au ma EX zao? Ni ngumu sana mwanaume kumsema vibaya mwanamke aliye wahi kuishi nae au kuzaa nae hata kama aliwahi kumfumania, ngumu sana. Siri hiyo atakufa nayo, hatakuja kuiropoka anywhere, sasa hvi eti mwanaume kabisa nae anatamka maneno ya chumbani? Mmh
 
Watu WAKITOKA KUFUNGA NDOA HONEY MOON WAFANYIE NYUMBANI KWAO SIO HOTELI. fikir tumetoka kupokea baraka unaenda siku hiyo hiyo kulala hotel ambapo YAMKINI kitanda unacho lalia Kuna watu walifanyia uzinzi, uasherati na ufiraji how come Yale maneno mazur ulitamkiwa yaka wini MAISHA. Utaanza usaliti,uzinzi kikubwa nendeni kwenu. Kama ni siku zingine Basi inawezekana mkaenda huko.
 
Back
Top Bottom