Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Mkataba wao ni ndani ya siku 60, hospitali isiyo na fraud issues isimame mahakamani waseme hawajalipwa.Unapoandika haya, unajua hizi hospitali zinadai kiasi gani huko NHIF? Himiza serikali yako iwajibike! Au unafikiri hizo hospitali madawa wanaokota? Watumishi wanalipwaje? Anzisha wewe hospitali yako ukatoe huduma for free.