heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Hospital, kumbuka kienyeji haina ganzi wala kushona nando nzuri ao waende kienyeji wakapate ujasiriSijakuelewa mkuu ulitahiriwa hospitali au kienyeji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hospital, kumbuka kienyeji haina ganzi wala kushona nando nzuri ao waende kienyeji wakapate ujasiriSijakuelewa mkuu ulitahiriwa hospitali au kienyeji?
Mtaa umenitoka jina,Ila ukifika stand ya tegeta gerezani ukiulizia kwa Dr Abas utaekezwa ni Kama dakika 3 kutokea paleAsante sana mkuu Kariakoo mtaa gani kaka? Jina la hospitali?
We zanini izo kwa sisi tunatupa ktl boma la mbuzi has kuwe na beberuNjoo PM tupange vizuri, nitawatahiri bure ila please uniachie hizo govi mimi nina kazi nazo
Watoto wako ni weusi au weupe
Sijakuelewa mkuu ulitahiriwa hospitali au kienyeji?
Mkuu kumbe bwana mdogo sana umetahiri mwaka 1989 Mimi nimetahiri mwaka 1964 kawatahiri hospitali bora zaidi .Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me.
Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne.
Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri.
Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa kuwatahiri kwa sababu walikuwa wanaishi na mama yangu na mimi nilikuwa busy na mambo mengine ya maisha.
Now nataka kuwatahiri. Swali langu kwenu:
Hospitali gani nzuri hapa mjini Dar es Salaam katika kutahiri watoto? Dokta gani mzuri?
Mimi nataka kuwatahiri mwezi wa kumi na mbili wakati wa likizo ila kuna mtu anasema kwamba kwa hapa mjini Daslamu muda mzuri wa kutahiri mtoto ni mwezi wa sita kwa sababu kunakuwa na baridi na kwamba baridi inafanya mtoto apone haraka. Je kuna ukweli katika hilo? Binafsi siwezi kuwatahiri mwezi wa sita kwa sababu ya shule. Huyu wa la nne anakuwa bado yupo shule na nataka kuwatahiri wote kwa pamoja.
Nipeni uzoefu bandugu
AL JUMAA CHARITABLE IPO FAYA. NA DR ANAITWA JUMA KAMA CJAKOSEA ANAFANYA KAZI MUHIMBILI NI SPECIALIST WA WATOTOPia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me.
Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne.
Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri.
Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa kuwatahiri kwa sababu walikuwa wanaishi na mama yangu na mimi nilikuwa busy na mambo mengine ya maisha.
Now nataka kuwatahiri. Swali langu kwenu:
Hospitali gani nzuri hapa mjini Dar es Salaam katika kutahiri watoto? Dokta gani mzuri?
Mimi nataka kuwatahiri mwezi wa kumi na mbili wakati wa likizo ila kuna mtu anasema kwamba kwa hapa mjini Daslamu muda mzuri wa kutahiri mtoto ni mwezi wa sita kwa sababu kunakuwa na baridi na kwamba baridi inafanya mtoto apone haraka. Je kuna ukweli katika hilo? Binafsi siwezi kuwatahiri mwezi wa sita kwa sababu ya shule. Huyu wa la nne anakuwa bado yupo shule na nataka kuwatahiri wote kwa pamoja.
Nipeni uzoefu bandugu
Nadhan niliandika nikiwa full maji. Anyway urakoze kushimaUrakoze cyane
Watahiriwe kwa wazee wa jadi tu mbona wapo vyedi tena sana tu
Njoo PM tupange vizuri, nitawatahiri bure ila please uniachie hizo govi mimi nina kazi nazo
Watoto wako ni weusi au weupe
Aisee na mi naomba nkuulize,, nna ndugu yangu anaenda miaka 30 sasa hajatairiwa,,vp anaweza akafanyiwa ivo na akaendelea na shuhuli zake bila kumuathiri,, maana anahitaji kufanyiwa jambo hiliUke mtaa nadhan unaitwa Swahili ukitokea faya ni jirani na hospital ya Dr Ameer. Wale wame specialize kwenye Hilo nadhan ni kwa Dr Jumaa