Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

Aisee na mi naomba nkuulize,, nna ndugu yangu anaenda miaka 30 sasa hajatairiwa,,vp anaweza akafanyiwa ivo na akaendelea na shuhuli zake bila kumuathiri,, maana anahitaji kufanyiwa jambo hili
Ndio inawezekana, yaan hio inakatwa inavalishwa kipira, unatuoia boxer unaendelea na shughuli ikikauka kipira kinaanguka chenyewe
 
Back
Top Bottom