Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

Kuna mtu mmoja kkoo hapo ni faster tu na hakuna matata baada ya tohara. Simkumbuki jina ila kuna mtu aliwahi kunielekeza huko kupata huduma kwa vijana wangu. Hata BOCH pia wako vizuri kama uko maeneo ya mbezi.
 
Mkuu kumbe bwana mdogo sana umetahiri mwaka 1989 Mimi nimetahiri mwaka 1964 kawatahiri hospitali bora zaidi .
 
AL JUMAA CHARITABLE IPO FAYA. NA DR ANAITWA JUMA KAMA CJAKOSEA ANAFANYA KAZI MUHIMBILI NI SPECIALIST WA WATOTO
 
Ndugu ulifanikiwa ,juma lijalo nitakuwa nyumbani Dar es salaam tafadhali ikiwa haukufanikiwa walete wanao nitakufanyia bure tu .

Kikubwa niweke historia kwenye familia yako ya kuwatambulisha wanao katika dunia mpya
 
Uke mtaa nadhan unaitwa Swahili ukitokea faya ni jirani na hospital ya Dr Ameer. Wale wame specialize kwenye Hilo nadhan ni kwa Dr Jumaa
Aisee na mi naomba nkuulize,, nna ndugu yangu anaenda miaka 30 sasa hajatairiwa,,vp anaweza akafanyiwa ivo na akaendelea na shuhuli zake bila kumuathiri,, maana anahitaji kufanyiwa jambo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…