Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Hii sio approach sahihi.ipo NHIF catalogue nikiona nitaiweka hapa sio nyaraka ya siri
Kwani Doctor akikwambia wewe unaumwa Malaria wewe kama binafsi unathitishaje kama ni kweli?Swali la msingi sana
Vipimo vinathibitisha , mbona unatoa mifano irellevant chief?Kwani Doctor akikwamb8a wewe unaumwa Malaria wewe kama binafsi unathitishaje kama ni kweli?
We nae acha kukaza fuvu,hizo dawa ambazo hupewi kwa bima ujue ndio za gharama kubwa,manake kama zingekuwa zinaruhusiwa mahospitali yangepata pesa nyingi sana. Hakuna mtoa huduma ambaye atakunyima dawa ya gharama kwa makusudi,pia Catalogue ipo inayoonesha dawa zinazoruhusiwa na bei zake na dawa zisizoruhusiwa. Ni kitabu kabisa kina kurasa zaidi ya mia.Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima
Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa Bima, Je, Mimi mwanachama kuna Mfumo wowote unaonisaidia kuthibitisha kile ninachoambiwa au ndio inabidi tu nikubali nikaisake shilingi ninunue hiyo Dawa?
Yeye ndie kapima huko maabara kwake huko wewe unathibitishaje hayo majibu kuwa ndio yako?Vipimo vinathibitisha , mbona unatoa mifano irellevant chief?
Kuna namna haoa ww ndio naona kama umekaza fuvuWe nae acha kukaza fuvu,hizo dawa ambazo hupewi kwa bima ujue ndio za gharama kubwa,manake kama zingekuwa zinaruhusiwa mahospitali yangepata pesa nyingi sana. Hakuna mtoa huduma ambaye atakunyima dawa ya gharama kwa makusudi,pia Catalogue ipo inayoonesha dawa zinazoruhusiwa na bei zake na dawa zisizoruhusiwa. Ni kitabu kabisa kina kurasa zaidi ya mia.
SIjui hospital unazokwenda wewe kamanda, ila daktari hakupimi huko maabara, ana recomend vipimo kutokana na maelezo unayompa, ninkaz ya lab technician kufanya vipimoYeye ndie kapima huko maabara kwake huko wewe unathibitishaje hayo majibu kuwa ndio yako?
Anakupa nyaraka ya uthibitisho ambayo unaweza kwenda maabara nyingine ukapima ukathibitishia.Yeye ndie kapima huko maabara kwake huko wewe unathibitishaje hayo majibu kuwa ndio yako?
Sasa ciciem nao ni watu wa kuwazingatia kwel??. Lile genge la wahuni wako pale kwa ajil ya biznes zaoPiga simu NHIF uwaulize.
Hayo ni matokeo ya kitita kipya kilichosifiwa sana na CCM.
Hovyo kabisa.
Hospitali Binafsi Nyingi ziko Level C na D ambayo ni sawa na District Hospital So Angalia hapa Dawa zilizopo kwenye Level C..Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima
Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa Bima, Je, Mimi mwanachama kuna Mfumo wowote unaonisaidia kuthibitisha kile ninachoambiwa au ndio inabidi tu nikubali nikaisake shilingi ninunue hiyo Dawa?
Ni vizuri na ni haki ya mgonjwa kujua anatibiwa na dawa gani. Hili linaweza kuokoa maisha yako.Hii sio approach sahihi.
Sio kila mtu ana knowledge ya haya mambo, so tuwe tuna compare mwandiko wa dokta na catalogue ya NHIF kwel mkuu??
NHIFTZ wake na utaratibu rahis wa kutuwezesha sis kuthibitisha haya
Kwani ulienda ukiwa mzima siulienda ukiwa mgonjwaKwani Doctor akikwambia wewe unaumwa Malaria wewe kama binafsi unathitishaje kama ni kweli?
Ni sawa kapewa huyo wa maabara una uhakika gani hicho alichopima na kuleta majibu kuwa yuko sahihi .Wewe kama mgonjwa unathibitisha vipi kuwa huyo wa maabara yuko sahihiSIjui hospital unazokwenda wewe kamanda, ila daktari hakupimi huko maabara, ana recomend vipimo kutokana na maelezo unayompa, ninkaz ya lab technician kufanya vipimo
Pia Kuna Njia nyingine ya Kuangalia Kwenyr Mifumo ya NHIFHospitali Binafsi Nyingi ziko Level C na D ambayo ni sawa na District Hospital So Angalia hapa Dawa zilizopo kwenye Level C..
Japo Kairuki na Hospitali Kubwa kama Regency Na zingine ziko Level ya D na S ambayo Ni sawa na Regional refferal au Zonal..