Hospitali inapomwambia Mwanachama wa NHIF Dawa fulani haipatikani kwenye Bima, Mgonjwa anathibitishaje kwamba ni kweli?

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima

Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa Bima, Je, Mimi mwanachama kuna Mfumo wowote unaonisaidia kuthibitisha kile ninachoambiwa au ndio inabidi tu nikubali nikaisake shilingi ninunue hiyo Dawa?
 
Piga simu NHIF uwaulize.

Hayo ni matokeo ya kitita kipya kilichosifiwa sana na CCM.

Hovyo kabisa.
 
We nae acha kukaza fuvu,hizo dawa ambazo hupewi kwa bima ujue ndio za gharama kubwa,manake kama zingekuwa zinaruhusiwa mahospitali yangepata pesa nyingi sana. Hakuna mtoa huduma ambaye atakunyima dawa ya gharama kwa makusudi,pia Catalogue ipo inayoonesha dawa zinazoruhusiwa na bei zake na dawa zisizoruhusiwa. Ni kitabu kabisa kina kurasa zaidi ya mia.
 
Kuna namna haoa ww ndio naona kama umekaza fuvu
 
Piga simu NHIF uwaulize.

Hayo ni matokeo ya kitita kipya kilichosifiwa sana na CCM.

Hovyo kabisa.
Sasa ciciem nao ni watu wa kuwazingatia kwel??. Lile genge la wahuni wako pale kwa ajil ya biznes zao
 
Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima

Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa Bima, Je, Mimi mwanachama kuna Mfumo wowote unaonisaidia kuthibitisha kile ninachoambiwa au ndio inabidi tu nikubali nikaisake shilingi ninunue hiyo Dawa?
Hospitali Binafsi Nyingi ziko Level C na D ambayo ni sawa na District Hospital So Angalia hapa Dawa zilizopo kwenye Level C..

Japo Kairuki na Hospitali Kubwa kama Regency Na zingine ziko Level ya D na S ambayo Ni sawa na Regional refferal au Zonal..
 
Attachments

Hii sio approach sahihi.
Sio kila mtu ana knowledge ya haya mambo, so tuwe tuna compare mwandiko wa dokta na catalogue ya NHIF kwel mkuu??

NHIFTZ wake na utaratibu rahis wa kutuwezesha sis kuthibitisha haya
Ni vizuri na ni haki ya mgonjwa kujua anatibiwa na dawa gani. Hili linaweza kuokoa maisha yako.
 
SIjui hospital unazokwenda wewe kamanda, ila daktari hakupimi huko maabara, ana recomend vipimo kutokana na maelezo unayompa, ninkaz ya lab technician kufanya vipimo
Ni sawa kapewa huyo wa maabara una uhakika gani hicho alichopima na kuleta majibu kuwa yuko sahihi .Wewe kama mgonjwa unathibitisha vipi kuwa huyo wa maabara yuko sahihi
 
Hospitali Binafsi Nyingi ziko Level C na D ambayo ni sawa na District Hospital So Angalia hapa Dawa zilizopo kwenye Level C..

Japo Kairuki na Hospitali Kubwa kama Regency Na zingine ziko Level ya D na S ambayo Ni sawa na Regional refferal au Zonal..
Pia Kuna Njia nyingine ya Kuangalia Kwenyr Mifumo ya NHIF
 
Back
Top Bottom