Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Wayahudi kutoka Ethiopia wa kabila la Dan ni weusi wa kihabeshi.
Wayahudi wa Ashkenazi wanna asili ya wazungu wa Europe
Wayahudi kutoka Iran ni kama chotara vile (waarabu Waajemi).
Ina maana Yakobo alizaa watoto wa kila aina yaani kina Dani walikuwa weusi, Judah alikuwa mzungu na wengine waarabu, wahabeshi, n.k ?
zitto junior FRANC THE GREAT Mathanzua
econonist