Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Najua,ila hiyo si hoja nzito sana.Hata wewe kama ukoo wenu una watu weupe ukioa mwanamke mweusi watakusema,ila haina maana kwamba ninyi kwa kuwa ni weupe,si Waafrika.Unajua kuwa Musa alioa mwanamke kutoka kabila la kushi ambao ni weusi mpaka ndugu zake Haroun na Miriam wakamsengenya? Sasa kama waisrael walikuwa weusi ilikuwaje wakawa wanamshangaa mke wa Musa?
Anyway ni hivii, Biblia haikuandika kila kitu, kingeandikwa kila kitu isingetosha(Kumbukumbu 29:29).Ila notice that even Solomon and Job are mentioned in the Bible as being Black!Doesn't this prove that Israelis are black?
1.Wimbo ulio Bora 1:5(Song of Solomon)
5 Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani.
Wimbo Ulio Bora 1:5
2.Ayubu pia alikuwa mweusi.
Ayubu 30:30
30 Ngozi yangu ni nyeusi, nayo yanitoka, Na mifupa yangu imeteketea kwa hari.
Mkuu ni vizuri mkaanza kukubali kwamba people of the Bible were black,huu utapeli na udanganyifu wa Wazungu kwamba Bwana Yesu na Waisrael/Waebrania ni Wazungu has to stop,we now know it is not true and you people have to come to terms with that.