Waisrael walisambaa Dunia nzima mkuu,hakuna waliobaki,Mungu akifanya kitu anafanya to it's completeness.
Baada ya wao kuondoka Wapalestina wakachukua nafasi.
Nikukumbushe kwamba Mungu ndiye aliyewasambaza.
Labda nikuulize,hivi mweusi anaweza kumtawala mweupe kweli?Kama jibu ni hapana,ilikuwaje Solomon na Mfalme Daudi ambao wametajwa kuwa weusi watawale weupe?Na hivi unajua kwamba Nimrod ambaye alitawala jamii ya kwanza ya Wanadamu duniani Middle East alikuwa Muafrika?Sikiliza mkuu,Wazungu wametumia kila mbinu kufuta Historian yetu,but we are slowly getting the facts.