Hospitali ya Al Shifa ndio eneo la mwisho la mapigano

Wayahudi kutoka Ethiopia wa kabila la Dan ni weusi wa kihabeshi.

Wayahudi wa Ashkenazi wanna asili ya wazungu wa Europe


Wayahudi kutoka Iran ni kama chotara vile (waarabu Waajemi).

Ina maana Yakobo alizaa watoto wa kila aina yaani kina Dani walikuwa weusi, Judah alikuwa mzungu na wengine waarabu, wahabeshi, n.k ?

zitto junior FRANC THE GREAT Mathanzua
econonist
 
Jamaa walishapachora pote. Wanasubiria utekelezaji.
hiyo picha na ramani ilikuwa kabla hawajapiga, sasaivi wameshaivamia yote. waliweka kamera kwa usaidizi wa mamluki wa kipalestina zikawa zinaonyesha hamasi wapi wanaenda kuishia na wanapotokea, pale chini ya hospitali hata nje kuna mashimo wanafungua kama chemba za choo kumbe ndo mlango wa handaki. na walifanya hivyo wakijua israel hatapiga maeneo ya hospitali sasa jamaa kapiga hivyo hivyo.
 
Dooh watoke watz wetu salama na vita iishe amani itawale kifo ni kitu kibaya
 
NDIO
 
Kwa Sasa mapigano ya IDF na Hamas yanakaribia mwisho
Naona wengi hatuna uhalisia, hivi kweli Hamas ndio palestina? Kuna wapalestina million 8 kwa Gaza na diaspora ni mjinga tu anayedhani insurgency zitaisha kisa Hamas.

Kwenye hii vita pekee wataibuka wengi kulipa kisasi so vita itakua tena na tena. Suluhisho ni two states sio mtutu wa bunduki.
 
Kabisa mkuu, hayo mauaji yanayoendelea Gaza ndio yatawasukumu zaidi vijana wadogo kwenye itikadi kali zaidi ili kulipiza kisasi.
 
Hahaha seems Hamas wanakaribia kusema Adiosamigo

Hiyo parah ya mwisho umenikumbusha wakati wa Iraq war alikuwepo mtu akiitwa Tarek Aziz afisa propaganda wa serikali ya wakati huo,siku moja baada ya kuwepo mashambulizi makali akaita press akasema mmarikan amezingirwa Baghdad hatoki mtu hata sisimizi aliyeingia kwa kudandia zana vita za mmarekan ataangamizwa.

Alipotoka hapo kesho yake nyumba yake ikazingirwa wamarekani wakamkuta amejificha nyuma ya fridge.all in all vita siyo ya kushabikia always wanaumia wasiojua chochote kuhusu hizo vita
 
Kiongozi wa Hizbullah naona anawamba Waarabu waingilie.Nani hataki kufa?
 
Mkuu. Ilikuwa mbinu ya kivita kuingiza vifaru Gaza City. Mvishambulie wapate ramani ya mnakotokea. We vipi?
 
Hizi propaganda mnatoa wapi? Al jazeera mbona walisha debunk hizi claims? Yaani mnataka kujustify kuuwa watu kwa kigezo cha "Hamas wamejificha humo".
toka lini aljazeera wakareport habari zisizokuwa biased kwenye palestine/uislam/uarabu? aljazeera ndo cnn/bbc ya kiarabu so habari zao zipo so biased kwa palestine/uislam/uarabu. Na ndiyo maana waislam, waarabu, chombo cha habari wakipendacho ni aljazeera maana kinareport yale wanayopenda kusikia.
 
Hizi propaganda mnatoa wapi? Al jazeera mbona walisha debunk hizi claims? Yaani mnataka kujustify kuuwa watu kwa kigezo cha "Hamas wamejificha humo".
al jazeera wanaongea uongo mtupu. kuna media ukiziangalia ukarudi kuangalia al jazeera, hautakuja kuangalia tena al jezeera. nilikuwa siamini hilo hai
 
Michoro bandia inayotokana na mawazo yako. Hii yote inatokana na kuwaamini sana wanamgambo kwamba wana ubavu wa kupambana na giant Israeli. Hamas na Hisbola ni kama sisimizi tu mbele ya tembo.
 
Hiki kichekesho ni cha aina yake.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Jamani kwa hiyo Hamasi wanaokufa huwaoni?
 
Mleta mada ni katika wale waisraeli weusi , endelea kupiga propaganda,!
Amosi 1:6-7,9-12
[6]BWANA asema hivi; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliwachukua mateka watu wote, ili kuwatia mikononi mwa Edomu;

[7]Lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake;
 
Weka pia maandiko ambayo Mungu kasema waisraeli wamepotoka kwa hiyo atawaangamiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…