Hospitali ya Al Shifa ndio eneo la mwisho la mapigano

Ulivyo mpuuzi na kichwa bogus ,unafurahia uvamizi haramu Iraq uliofanywa na Marekani kwa kufuata claims feki za wazayuni mashoga kwamba Saadam Husein ana silaha za maangamizi kutaka kuullipua Israel na Marekani ,kwamba pia Saadam Husein alikuwa anahusika na harakati za Alqaida ,kitu ambacho kilikuwa kuwa debunked na majenerali wenyewe wa pentagon na watu mbalimbali ndani ya serikali .
Badala yake ikaishia kuleta disaster kwa raia wa Iraq na losses kubwa tu ya resources na maisha ya askari wavamizi wa kimarekani na allies wake , looses ambayo mpaka leo imechangia ku cripple uchumi wa Marekani , Afghanistan penyewe ni zaidi ya usd trilioni mbili ziliteketea pale .
 
Ndio hao hao wanaomeza kila kitu bila kufikiri na kutumia akili , leo hii wanatuambia pharaos wale walijenga pyramids ni weupe ,wakati inajulikana hao pharaos ndio wale Nubians (Northern Sudan ) na khemet (Misri ya kale ) WA enzi hizo na wale walikuwa ni watu weusi ti kama mkaa tokea Sudan kupanda mpaka Egypt na actually zilikuwa ni kingdoms mbili zenye watu wa rangi za kufanana kwa rangi mpaka traditions ,mifumo ya kuabudu ,kuongoza , jeshi nk , Northern Sudan pia Kwa wanubi kuna masalia ya kihistoria yamechimbuliwa na kuthibitisha hilo , hata pyramids Northern Sudan (ardhi ya wanubi ) zipo . kuna kipindi Nubians kingdom ilipigana vita na Khemet (Misri ) na hao Nubians wakatawala kama pharaos , hilo lote mzungu anajaribu kupindisha ili kufit narrative ya kuharibu na kufifisha image ya mtu mweusi
 
Siku 36 IDF 360 waliouliwa. Maana yake kwa uwiano ni IDF 10 kwa siku.

Wazayuni toka wavamie hapo Palestina hawajawahi kupata kipigo cha mbwa koko cha namna hiyo.

Waliobaki wao wapige wagonjwa na watoto tu mahospitali.

Mbali ya vifaru na magari yao ya deraya zaidi ya 160 yaliyoteketezwa.
 
Huna akili ya kutafiti mambo na mbaya zaidi umeendelea kumezeshwa huo upuuzi na ndio umeendelea kuishikilia mpaka sasa
Hao watu sio wayahudi , wale ni converts ,wale ni khazars ,jamii ya wapagani waliotumia uyahudi kujificha na kuficha agenda zao
Soma humu halafu urudi hapa
 

Attachments

Kweli wewe ndo mtazamaji mzuri wa channel ya Aljazra ambapo IDF wanalia lia kila siku kwamba wamekatiwa umeme ,watoto na wanawake wanauliwa na kuomba vyombo vya kimataifa kuingilia kati kunusuru hali hiyo.
 
Kweli kabisa ,nyumba zao zimevunjwa vibaya sana utadhani mashamba ya alizeti wakati wa kiangazi.
Kweli hata baada ya vita kuisha IDF itahitaji msaada wa kujengewa makazi ya dharura ili maisha yaendelee.
Nami nimeamini kwamba MCHUMA JANGA HULA NA WAKWAO.
 
IDF 360 wamekufa, labda ukawajengee makaburi.

Hiyo kambi ya mateso ya Wapalestina kubomolewa ni heri kubwa sana.

Nani mwenye kuitaka?

Una muono finyu huwezi liona hilo kuwa ni ushindi kwa Palestina.
 
IDF 360 wamekufa, labda ukawajengee makaburi.

Hiyo kambi ya mateso ya Wapalestina kubomolewa ni heri kubwa sana.

Nani mwenye kuitaka?

Una muono finyu huwezi liona hilo kuwa ni ushindi kwa Palestina.
Inabidi mpango ufanyike wa kukomesha maandamano yanayofanyika ulimwenguni wakisema" cease fire"
ili IDF waendelee kukipata cha moto,ni vizuri tuseme kama marekani ''no cease fire"
 
IDF 360 wamekufa, labda ukawajengee makaburi.

Hiyo kambi ya mateso ya Wapalestina kubomolewa ni heri kubwa sana.

Nani mwenye kuitaka?

Una muono finyu huwezi liona hilo kuwa ni ushindi kwa Palestina.
Najitahidi kuuona huo ushindi,pamoja na maono yangu finyu kama unavyodai.
Yaani kila siku watu wanazidi kuwahi mabikra 72,hiyo ni faida kubwa sana.
 
O
 
God Bless 🇮🇱
 
Uko sahihi mkuu 💯%.Laiti tungekuwa na watu knowledgeable wengi kama wewe,may be we would be somewhere.Hongera sana mkuu,keep it up.
 
Acha upumbavu. Siwasapot hamas ila hapa unajionesha ulivyo mpumbavu. Huyo mtoto amefanya kosa gani mpaka kuweka maneno kama hayo?
Acha ujuha weee. Unajua Muhammad alimuoa Bi. Aisha akiwa na miaka mingapi na akaanza kumuingilia akiwa na miaka mingapi? Maamuma mkubwa wewe.
 
'kushambulia Hamas kwa tahadhari' leo hiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…