Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Hii kitu ni kweli kabisa kwa hapa ipamba kuna jamaa alikuja na mke wake apate kujifungua sasa mke akaingia labour, jamaa akatoka usiku kwenda kumletea chakula mke wake na akurudi mbak leo hii, mke analia na jamaa ndio kapotea hivy, kuna vitu vya ajabu sana hapo.